Warioba: Tutarajie Katiba ya watawala

Warioba: Tutarajie Katiba ya watawala

Sheria inawaruhusu na wananchi anaridhika ndiyo maana makundi mbalimbali yanaenda kupeleka maoni kama:
- Wasanii
- Baraza la habari Tanzania
- Wakulima na wafugaji
- Hata yeye Warioba amepeleka maoni mengine hivi karibuni
Duchi ndio funza gani vile?????
 
Sheria inawaruhusu na wananchi anaridhika ndiyo maana makundi mbalimbali yanaenda kupeleka maoni kama:
- Wasanii
- Baraza la habari Tanzania
- Wakulima na wafugaji
- Hata yeye Warioba amepeleka maoni mengine hivi karibuni
Yaani mijitu mingine huwa inajitoa ufahamu, ndio maana mnatolewa mahari. UNAKERAAAAAAAA!!!!!!!!
 
Jaji Warioba amenukuliwa leo na gazeti la Raia Tanzania akisema kitakachopendekezwa na Bunge la Katiba Dodoma ni Katiba ya watawala na si Katiba ya wananchi, anatoa mifano juu ya kinachoendelea yaani Sitta anakusanya maoni ya vikundi vya kiutawala kama ALAT.

Je, yuko sahihi? Wananchi wataambulie chochote cha maana katika katiba hiyo?

Mkuu, hii katiba ya magamba tuachane nayo. Serikali ya UKAWA itatupa katiba nzuri mwaka 2016 baada ya kuingia madarakani.
 
Sheria inawaruhusu na wananchi anaridhika ndiyo maana makundi mbalimbali yanaenda kupeleka maoni kama:
- Wasanii
- Baraza la habari Tanzania
- Wakulima na wafugaji
- Hata yeye Warioba amepeleka maoni mengine hivi karibuni

I suppose your head contains no BRAIN...it is full of MAGGOTS and SNAILS!
 
Nimesikia kuna maoni ya watu yalitiwa kapuni na tume ya Warioba. Baadhi ndo hao wanaokwenda bungeni sasa. Sina hakika kama kanuni au sheria zinaruhusu ama la.

'maoni' hayo unayosema ni yataingia kwenye katiba ya Tanganyika. katiba inayotungwa sasa ni ya Muungano, ndio maana maoni ya wakulima kutoka Tanganyika hayakuwekwa kwenye katiba ya Muungano. umeelewa?
 
kuna watu humu sijui hawana akili au ni monkeys kama wassira,hivi kweli bado kuna watu kabisa wanawatetea ccm,hivi watu kama hawa si wa kuua tu

hao wanasumbuliwa na njaa uchwara na bahati mbaya njaa zao zimekaa kichwani badala ya tumboni.
 
wala msiwe na wasiwasi kwasababu hakuna katiba mpya akidi ya kupitisha hayo wanayoyajadili katika kamati kwasasa haipo hivyo mchakato huu hautokamilika abadani bila ukawa kurudi bungeni!!!

ni kweli kabisa mkuu. mle bungeni watu wameenda kula posho tu, hakuna kitakachofanyika.
 
Siipotoshi umma mkuu. Huwezi kutoa conclusion wakati hujapewa final result. Ndio maana nimetolea mfano wa Chadema walivyokuwa wanaiponda tume. Ningetaraji watu wasubiri waone nini kitaletwa mezani na hao wajumbe waliojifungia Dodoma ndipo tupate nafasi nzuri ya kukosoa na kupongeza tukiwa na ushahidi mikononi.

mkuu, wakati mwingine uwe unatumia angalau akili kidogo tu kuchanganua mambo. ina maana hujui kinachoendelea Dodoma mpaka sasa? ama kweli wewe ni BOZONGO wa kutupwa!

wananchi walipendekeza muungano wa serikali 3 lakini CCM wanajadili katiba yao ya serikali 2. hapo kuna katiba kweli? hata hili hulijui? CCM wameichanachana katiba ya wananchi, sasa wanajadili katiba ya watawala na mafisadi. Warioba kasema ukweli 101%. wewe unafikiri kwa kutumia tumbo au m@k@|i0?
 
Nakumbuka kabla tume haijatoa rasimu ya kwanza, Chadema walipaza sauti zao wakiituhumu tume kuwa inaandaa rasimu yenye maslahi ya CCM, ikafika kipindi hadi wakamkashifu Jaji Warioba. Baada ya rasimu ya kwanza na ya pili kutoka wakala matapishi yao kwa kuipongeza tume. Sasa hivi wajumbe wa bunge maalumu la katiba wapo Dodoma wakiendelea na mapitio ya rasimu iliyowasilishwa na tume. Kama kawaida Chadema akiongoza kundi la Ukawa, pamoja na watu wengine wamerudia staili ileile kwamba kinachotengenezwa Dodoma ni katiba ya CCM. Nashangaa kuona hata Jaji Warioba yupo mstari wa mbele kusema ni katiba ya CCM. Tuwe wawazi na wakweli, mrejesho wa kilivchoamriwa kwenye bunge haujatolewa, tunapata wapi ujasiri wa kusema ni katiba ya CCM? Nashindwa kuelewa hata utashi wa Jaji Warioba umepotelea wapi kiasi kwamba ameamua sasa kuwa mwanasiasa. Sioni sababu ya kufanya mahitimisho wakati hata ripoti hatujapewa. Isitoshe hata kama hao CCM wataweka yao, wahusika wa mwisho na wenye maamuzi ni sisi wananchi wenyewe, kama tutaona haitufai tutaikataa, CCM si Mungu kwamba wao wanachokisema lazima sisi tukifuate.
Ndugu nashukuru kwa kuamua kutumia busara, ila ninasikitika umeamua kutumia busara kwenye mazingira ambayo hata hicho chombo hakiwezi kuwa huru kwenye kusimamia hyo kura ya maoni. Iwapo wanaweza kutokubaliana na maoni ya wananchi yaliyokusanywa kihalali tena waziwazi itakuja kuwa hiyo kura ya maoni wanayoweza kuchagua mtangazaji? Ndugu busara zako nina mashaka nazo kwani hazina uhalisia kwenye mazingira yetu
 
Kwanini Mashoga nao wasiende kupeleka maoni yao! Muda ukipita wataanza kulalamika kuwa hawatambuliwi katika jamii. Wakati ni huu na Sitta hana kipingamizi!
 
Halafu wanatufanya wajinga kila anayeongea anajifanya kusema hata Warioba kaleta maoni mengine. Hawakumbuki siku ile Lukuvi kwenye mdahalo alisema Warioba kaleta maoni mapya, kesho yake Warioba akaeleza ukweli wa hicho walichoita maoni mapya, matokeo yake ukweli ulivyowekwa hadharani ndio Sita akajifanya itv iangaliwe. Jamani ni hivi hawa ccm wameona wanaaibika hivyo wanawapanga watu wao kujifanya kuna makundi kuuhadaa umma kwamba watu hawakutoa maoni yao kwa Tume ya Warioba au yakiachwa.
 
mkuu, wakati mwingine uwe unatumia angalau akili kidogo tu kuchanganua mambo. ina maana hujui kinachoendelea Dodoma mpaka sasa? ama kweli wewe ni BOZONGO wa kutupwa!

wananchi walipendekeza muungano wa serikali 3 lakini CCM wanajadili katiba yao ya serikali 2. hapo kuna katiba kweli? hata hili hulijui? CCM wameichanachana katiba ya wananchi, sasa wanajadili katiba ya watawala na mafisadi. Warioba kasema ukweli 101%. wewe unafikiri kwa kutumia tumbo au m@k@|i0?

Mkuu, kwanza jiheshimu. Usipende kuwa mtu wa kutukana tukana. Kama kitu unapingana nacho basi pinga kwa hoja na siyo kumwaga matusi.
 
Sheria inawaruhusu na wananchi anaridhika ndiyo maana makundi mbalimbali yanaenda kupeleka maoni kama:
- Wasanii
- Baraza la habari Tanzania
- Wakulima na wafugaji
- Hata yeye Warioba amepeleka maoni mengine hivi karibuni

Sheria gani?
 
Wanataka kusema tume ilikuwa na weakness kwa kutochukua maoni ya watu wengi kama wanavyo criticise takwimu ya rasimu
 
Sina kumbukumbu kama mchakato wa kupata katiba mpya bado upo mie nilikuwa najua sasa kile chama pendwa cha wajinga kinatengeneza katiba yao then ya watanzania itakuja baadae maaana wao siku zote kwanza watanzania baadae
 
Mara ya mwisho uliugua lini kichaa cha mbwa? sheria ipi unayoisema? hayo maoni yanakusanywa kwa mujibu wa sheria ya mwaka gani ? ilitungwa na nani?

kichaa cha mbwa...i dont think so, unless kama anatokea Iringa ya kale ya akina Mwinyigumba.

lakini, i agree with you...kama haugui gauti ya kichwa sababu ya kula sana nyama ya mbuzi isiyoiva basi ana madcow desease!
 
Du kumbe kamati na ukawa walikuwa na lao jambo. Hivi hakuna mwananchi ambae alitoa wazo tofauti na hiyo rasimu? Hivi mwananchi hana haki ya mawazo yake kujadiliwa? Mbona watu wameng'ang'ania msahafu wa warioba na ukawa?
 
Back
Top Bottom