Warioba: Nchi Hivi Sasa Inayumba!

Warioba: Nchi Hivi Sasa Inayumba!

Mkuu watu kama hawa ndiyo wanaotucheleweshea ukombozi wa hii nchi..
Na watu wa aina yake wapo wa kutosha. Hawa ndo Faizafoxy anasema walikwenda shule kusomea ujinga.
Ukiwa na mawazo kama ya huyo jamaa, lazima yaani unaumwa na kustahili kupatiwa matibabu ya afya ya akili.
 
kuzunguka mbuyu hakutasaidia kutatua suala la kuvunjika amani, kama hao wazee hawamwambii JK ambaye ni raisi na mwenyekiti wa ccm. Huyu ndiye ataipeleka nchi kwenye machafuko asipobadili tabia yake ya kuupuza mambo, kuendekeza rushwa na kufanya ubabe kama kwenye suala la katiba. Mwamwendee magogoni wamwambie sasa inatosha. kama haya ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania basi amefanikiwa inatosha.
 
Back
Top Bottom