Warioba na Tume yake wajiunga na Upinzani

Warioba na Tume yake wajiunga na Upinzani

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,939
Reaction score
7,849
sikumbuki katika nchi hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.
 
Soma judgement utaelewa maana yake kama hutaelewa uomba usaidizi.
Nakupa summary ya judgement[
Court Delivers a Judgment on Matter Concerning Elections of Tanzania Representatives to EALA
East African Court of Justice Arusha, 26th September 2014: The First Instance Division today delivered a judgment on a matter concerning the election of Tanzania representatives to the East African Legislative Assembly (EALA). The case was filed by Anthony Calist Komu, a member of the political party Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) against the Attorney General of the United Republic of Tanzania. The Applicant who unsuccessfully contested for EALA membership was challenging the process of the said elections on grounds that it violated Article 50(1) of the EAC Treaty.
The Applicant prayed for declarations that, (a) the election for members of the East African Legislative Assembly conducted by the Parliament of Tanzania on 17/4/2012 was in flagrant violation of Articles 50 of the Treaty for the Establishment of the East African Community (b) a declaration that in obtaining the representatives from Opposition Political Parties and Tanzania Mainland Article 50 of the same Treaty envisages, inter alia, the observance and compliance of the principal of proportional representation (c) order prohibiting the Parliament of Tanzania from further violation of Article 50 of the Treaty by not complying with the principal of proportional representation and allowing candidates from political parties which are not represented in the national assembly.

The Court in delivering the judgment declaredthat to the extent that the election for members of the EALA conducted by the National Assembly of the United Republic of Tanzania on 17/4/2012 was premised on only political parties as the sole grouping as opposed to all other groups envisaged in Article 50(1) of the Treaty, then the National Assembly of the United Republic of Tanzania violated the said Article. Secondly, the Court made a declaration that by allowing a political party without representation in the National Assembly (Tanzania Democratic Alliance -TADEA) to field a candidate in the election of 17/4/2012 for representatives to the EALA, then the National Assembly of Tanzania was in violation of Article 50(1) of the Treaty. Finally the Court ordered the Applicant be granted a quarter costs of the case for having partly succeeded in his case.

For Editors
Article 50 (1) of the Treaty provides that; The National Assembly of each Partner State shall elect, not from among its members, nine member s of the Assembly, who shall represent as much as it is feasible, the various political parties represented in the National Assembly, shades of opinion, gender and other special interest groups in that Partner State, in a accordance with such procedure a s the National Assembly of each Partner State may determine.

ENDS-
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
 
Namjua mpaka mama muuza anayemuuzia Warioba ile kitu iliyohalalishwa na chadema.
Ndege wafananao huruka pamoja. Na wapenda gongo wana akili na mitazamo inayofanana.
Kwa ujumla mimi namdharaaaaaaaaaauuuuuuu
 
Mzee Warioba:hebu mpigieni makofi mzee wetu huyu..oja ni mzalendo;katika maisha yangu mtu ambaye namkubali nchi hii na Warioba!kwanza anachosema namuamini japo mi si mwanasiasa kama yeye.Hivi ilikuwaje akaaminika na Rais?huyu mzee namuombea maisha mema na Mungu ampe umri mrefu japo siku moja nisalimiane nae.Mzee warioba alifanya kazi aliyotumwa na Watanzania,sasa nyie CCM mlifikiri atawapendelea?Ninakana kwamba mzee Warioba kahamia upinzani;ila lamda mseme kahamia kwa wananchi kwani ndicho alichotumwa,hakutumwa na chama chochote bali na Watanzania.
 
Big Up Warioba!!!! Wewe ni kisiki cha mpingo!!!!! Tanzanian patriots are proud of you!!!!!
 
Mzee Warioba:hebu mpigieni makofi mzee wetu huyu..oja ni mzalendo;katika maisha yangu mtu ambaye namkubali nchi hii na Warioba!kwanza anachosema namuamini japo mi si mwanasiasa kama yeye.Hivi ilikuwaje akaaminika na Rais?huyu mzee namuombea maisha mema na Mungu ampe umri mrefu japo siku moja nisalimiane nae.Mzee warioba alifanya kazi aliyotumwa na Watanzania,sasa nyie CCM mlifikiri atawapendelea?Ninakana kwamba mzee Warioba kahamia upinzani;ila lamda mseme kahamia kwa wananchi kwani ndicho alichotumwa,hakutumwa na chama chochote bali na Watanzania.

Mtusaidie katika kila mnalofanya mtuachie amani ili tujishughulishe na maisha maana kikiwaka hapa hata huo muda wa kwenda kutafuta tutauokosa. Mungu ibariki Tanzania!
 
Katika kuadhimisha miaka 19 ya kituo cha Sheria na haki za binaadamu L.H.R.C aliekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa tume ya katiba mh Jaji Joseph Warioba amesema wataingia mtaani kuitetea katiba ya wananchi hasa baada ya kuona maoni ya wananchi yamepuuzwa na kutupiliwa mbali na Bunge la katiba na badale yake Bunge limeunda rasimu nyingine isiyotokana na maoni ya wanachi.
 
sikumbuki katika nchi hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.

Sidhani kama uelewa wako unaweza kumfikia walau theluthi moja na uwezo wa mzee Warioba ,jitahidi sana kupima unachotaka kukitoa katika jamii.
 
sikumbuki katika nchi hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.

Anavunja sheria gani unaweza kufafanua ukaeleweka kuliko kuja hapa na hisia zako zinazodhirisha kwamba kichwani uko tupu.
 
Huyu mzee ni Shedaaaaaah na janga kwa taifa ukiona manyoya ujue kaliwa.Ataangaika sana hatofanikiwa ni kuaibika tu
 
sikumbuki katika nchi
hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi
kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada
ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi
kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu
mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama
imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria
na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.

Ungeeleza ni sheria ipi Jaji ameivuja, kabla hujauacha wazi uroro wako.
 
nyinyi watanzania hamjui warioba huyu mzee hajaanza leo toka alipofariki mw nyerere yeye akaanza kuikomandi serikali kama yeye ndio nyerere.siku moja tulikua air pot dodoma mwalim alikuja kwenye mchakato wa kumpata rais mwaka 1995 akamuuliza vipi joseph mbona hatuonani alifurahi sana inaonekana alikuwa tofauti na mwalim
 
Back
Top Bottom