Warioba atunukiwa nishani

Warioba atunukiwa nishani

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
wana jf kupitia I.t.v HABARI nimenuona mzee mzima warioba na mengi wamepewa nishani na muheshiwa raisi shupavu jasiri mpenda amani doctR jakaya mrisho kikwete

nilitegemea kuona hata kiongozi mmoja wa UKAWA kutunukiwa nishani...hii imekaaje wana chadema wazee wa GWANDA

HUU SIUPENDELEO HUU

HAAAHAHAHA
 
Ukawa walialikwa au vile Walioba yupo baasi nawo wawepo? Una hisia kama amezirwa au ukawa hawajamte ndea haki?
 
Mstahiki Meya nilichouliza ni kwamba hao ukawa walialikwa au ni weye kuona ni kwa nini hawakuwepo?
Endapo walipewa mwaliko wakakosa uko sawa.
 
wana jf kupitia I.t.v HABARI nimenuona mzee mzima warioba na mengi wamepewa nishani na muheshiwa raisi shupavu jasiri mpenda amani doctR jakaya mrisho kikwete

nilitegemea kuona hata kiongozi mmoja wa UKAWA kutunukiwa nishani...hii imekaaje wana chadema wazee wa GWANDA

HUU SIUPENDELEO HUU

HAAAHAHAHA
imekaa kitumwa tumwa hii habari yako!
 
Warioba kapewa nishani kwa ajili ya rasimu no. 2 au kwa ajili gani ? 🍒
 
Jifunze kuandika kwanza ndio uje hapa
Sijakuelewa hata kidogo
 
tumsubili jumatatu kwenye dakika 45 i.t.v hatatuambia nini msimamo wake....!?
 
Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Warioba ametunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Kwanza jana tarehe 25 April

unnamed (19).jpg
Na hapa chi ni siku alipokabidhi Rasimu ya pili ya Katiba mwezi Desemba 2013


Kikwete akipokea nakala za rasimu ya Katiba_furaha tele.jpg
 
yaani jm kwa kupenda kuuza sura,badala ya kumtazama warioba anayepokea nishani ye anamtazama mpiga picha

Etiquette za photo Op zinataka uangalie camera, si mtu unayefanya naye photo op.

Moreover, this seems to have been impromptu, you can't really pin it on him.

Kama unataka kumsema kuna vitu elfu moja na moja vya kumsema, si hiki.

Kita dilute legitimacy yako tu, uonekane kati ya wale wenye chuki ambao hata JK akipiga chafya ni scandal.
 
Nawashukuru kwa kutambua mchango wake!!!!!
 
Back
Top Bottom