Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,387
- 13,714
warioba na ukawa watapata aibu ya mwaka hatuchagui tena Rais mwenye nywele nyeupe tunataka umri wa kati.
Duuuh!! Urais ni nywele, umri au uwezo binafsi wa mgombea???
warioba na ukawa watapata aibu ya mwaka hatuchagui tena Rais mwenye nywele nyeupe tunataka umri wa kati.
Yepi hayo?Una uhakika na hayo uliyoandika?
Mzee Slaa atakubali kweli?
Nyani haoni kundule...hizi ni propaganda zamagamba kwenye kura ya maoni, yanataka kuwaamiinisha watu Warioba ni UKAWA ili lolote atakalosema ionekane ni msimamo wa UKAWA.Naona magamba mnae mgombea proper