Warioba ashitakiwe

Wana JF poleni sana kwa kuumizwa na Upumbavu wa Waziwazi lakini hapo alipo nina imani huyo Ushuzi waziwazi anajiharishia na angojee Kuwa chizi sasa
 
unayepaswa kushitakiwa ni wewe.Uccm wako usituletee na huyo Raisi wako.Anasema tulipaswa kujiunga na OIC ambapo sharti lake ni Nchi kuwa ya Kiislamu.upuuzi gani huu
 
Huwezi elewa rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa na mzee msomi Warioba kwa kuwa unaonyesha kuwa akili yako ni fupi shame on you

Yaani we kizibo kweli.....unaelewa maana ya kufanya sampling? Kiwango cha uwakilishi kikisha kidhi haja na kama hakuna variation utaongezaje namba bila sababu...? Katika sampling kitu kikubwa ni kuangalia variation na uwakilishi wake
 
Huo utakuwa wendawazimu kweli. Amekosea nini ashitakiwe?
 
wewe utakuwa umelogwa au huenda si mtanzania mtu wa kigali wewe. sisi Watanzanyika tuko timamu na sio wajinga. ujinga upo nchini kwenu.

"Huwezi kuacha kutukana sababu amka yako,kula kwako na lala yako inategemea uwepo wa CCM"
 

well said, haiwezekani watu wote wa ccm wawe na msimamo mmoja, wamelazimisha na hawako huru kuamua, wengne wanapigia debe serikal mbil midomoni tu lakini moyoni wako tofauti ila wanakubliana na fikra za mwenyekiti.
 
Kafara ilianzia kwa Dr. Sengodo Mvungi, nguli wa mambo ya sheria...Kikwete hata kumtaja marehemu hakuthubutu; ukishaonja damu ya binadamu katu huachi! WAZIWAZI, Kikwete akishammaliza na Jaji Sinde Warioba, mjumbe mwingine wa tume atakayefuatia ni nani? Dr. Salim Ahmed Salim? Jaji Agustino Ramadhani? Mzee Butiku? Profesa Mwesigwa Baregu au Profesa Palamagamba Kabudi? Kumbuka kabla ya Kikwete kuokotwa na Raisi Mwinyi huko mitaa ya Lindi, wengi wa hawa tayari walikuwa magwiji kwenye mambo ya siasa na uongozi. Kila mwenye akili anajua Dr. Sengodo Mvungi hangenyamazia hivi vitisho kupitia mipasho isiyo na hadhi hata ya kuingizwa kwenye hansard ya Bunge Maalum La Katiba hivyo ilibidi anyamazishwe milele. Who's next?
 

Halafu hivi hii Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilikuwa ni ya Warioba au ya Rais wa JMT? Yaani ni nani kati ya hawa wawili aliiunda hii tume?
 
Huyu waziwazi bila nguo ameshawehuka apelekwe mirembe waziwazi Maana akili yake kukaa wazi imeingia kinyesi
some people think going arround throwing insult is a bigdeal.
Minyoo how sure are you that you are not a PILE of human excrement masgueraiding as a human being?
 
Jadili rasimu usimjadili Warioba yeye atapita lakini taifa litabaki.
Kama wewe uliishia mitini bila kutoa maoni yako wapo walojitokeza.
 
kuelewa nini acha janjajanja sema kuelewa nini? nina wasiwasi hiyo rasimu huenda hujaisoma na ni miongoni mwa watu ambao hawakuojiwa na tume ya warioba ila umelishwa maneno na Warioba sasa anakuendesha kama roboti.:spider:

Wakati tume inahoji wananchi muda wote uko kilabuni sasa unalalamika nini? Nyamaza huna hoja. Mngese we.
 

Point,ccm wanalazimisha kila jambo?
 

Washitakiwe wazazi wako kwa kuzaa JUHAA
 

Inaisha wiki sasa hamna hata mtu mmoja ambae ameweza japo kwa 10% kujibu HOJA za Jaji Warioba!
 
Jamani nikitamka japo `nyamonenke' kwa mtoa mada itakuwa ni kama first aid kwangu dhidi ya hii sumu aliyonirisha !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…