itakuwa wewe ni mmoja wapo kati ya watanzania wachache waliopata bahati ya kutoa maoni ndio maana ikapatikana rasmu ya ajabu kama hii ambayo haitambui sehemu ya mito na maziwa kuwa tunavyo hapa nchini.mkuu siyo viroba ,huyo amelewa sembe la riz1 alilo shindwa kulipeleka beijing akaamua kuwagawia vijakazi wa lumumba kama huyo.
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
Sidhani kama kuna siku nitaikana Tanzania yangu!
Hii komenti ina harufu za uchumia tumbo!!Sidhani kama kuna siku nitaikana Tanzania yangu!
wewe utakuwa umelogwa au huenda si mtanzania mtu wa kigali wewe. sisi Watanzanyika tuko timamu na sio wajinga. ujinga upo nchini kwenu.Hakuna nchi yenye mambo ya hovyo kama watanganyika,lawama zangu nazipeleka kwa Nyerere kwa kutunyima elimu,kenya mambo kama haya ya ujinga hayapo sababu wanajielewa kutokana na elimu waliyopewa kwa kasi tangu uhuru.Kama warioba anatuhumiwa kwa hili ninyi wenye akili(CCM) kwa nini msingejifungia ndani mkaandaa katiba kwa niaba ya watanzania kama katiba zilizopita?kama mliyataka maoni yetu wananchi tuliyoyatoa kupitia kwa Warioba kwanini myakate?Nahisi mna lenu jambo na mlaaniwe ILA KUBWA ZAIDI MSHUKURU TANGANYIKA BADO INAWAJINGA WENGI SANA WA KUBURUZA ILA YOTE HAYA YANA MWISHO.
Umeongea pointi ya Msingi, kama CCM wanataka yapite wanayotaka wao tu kulikuwa na haja gani ya kuunda tume kwa gharama kubwa ili kuchukua maoni ya wananchi?, si wangekaa tu kamati kuu ya CCM wakapitisha katiba wanayotaka!!!?, hawa jamaa ni wapuuzi sana, naungana na wewe mkuu, it wont last for eternity, yana mwisho.Hakuna nchi yenye mambo ya hovyo kama watanganyika,lawama zangu nazipeleka kwa Nyerere kwa kutunyima elimu,kenya mambo kama haya ya ujinga hayapo sababu wanajielewa kutokana na elimu waliyopewa kwa kasi tangu uhuru.Kama warioba anatuhumiwa kwa hili ninyi wenye akili(CCM) kwa nini msingejifungia ndani mkaandaa katiba kwa niaba ya watanzania kama katiba zilizopita?kama mliyataka maoni yetu wananchi tuliyoyatoa kupitia kwa Warioba kwanini myakate?Nahisi mna lenu jambo na mlaaniwe ILA KUBWA ZAIDI MSHUKURU TANGANYIKA BADO INAWAJINGA WENGI SANA WA KUBURUZA ILA YOTE HAYA YANA MWISHO.
Watanzanyika ndio wa wapi?wewe utakuwa umelogwa au huenda si mtanzania mtu wa kigali wewe. sisi Watanzanyika tuko timamu na sio wajinga. ujinga upo nchini kwenu.
Maoni ya watanzania wangapi?
kama umeoa au kuolewa basi hiyo ndoa ina matatizo sana.Watanzania kwa mujibu wa sensa ya 2012 wanafikia milioni 44.9, wanaoruhusiwa kupiga kura wanfikia milioni 20. Waliotoa maoni katika kuunda rasimu wanafika laki 3.5 kwa misingi hii hata yeye aliyefungua Bunge la Katiba anapohoji idadi ya watu anajikanganya nafikili ingekuwa ana akili kama angesema watanzania hawana haja ya kutengeneza Katiba mpya kwa sababu hawakujitokeza kutoa maoni. Hii maana yake nini! kama mkutano wa kujadili upatikanaji wa maji umeitishwa kukawa na watu sema 200 halafu waliotoa dukuduku lao kuhusu suala hili ni 10 maana yake hawa 190 wanaridhika na hali iliyopo hivyo hskuns haja ya kuleta maji au mradi wowote wa maendeleo kwa tafsiri yako. Naomba tutofautishe kati ya kura ya maoni na kutoa maoni, mbona wabunge wetu wanaenda bungeni kutunga sheria wakiwa karibia 350 kati ya wananchi milioni karibia 45 bila hata kukusanya sahihi za wananchi ili kujua kama ndiyo mtazamo wao lakini tunakubali? ni ujinga ambao umetokana na kuwa na majibu kabla ya swali. Dhamira yako ni kupinga mapendekezo ya Serikali 3 lakini sababu yako inapelekea kujikanganya zaidi kuliko kueleweka.
Huwezi elewa rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa na mzee msomi Warioba kwa kuwa unaonyesha kuwa akili yako ni fupi shame on you
rudi mkuu rudi...!Ngoja nipite tu.... Naogopa ban
kuelewa nini acha janjajanja sema kuelewa nini? nina wasiwasi hiyo rasimu huenda hujaisoma na ni miongoni mwa watu ambao hawakuojiwa na tume ya warioba ila umelishwa maneno na Warioba sasa anakuendesha kama roboti.:spider:
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
[h=2]Re: Warioba ashitakiwe[/h]