Warioba Anataka Nini Hasa?

Mkuu huyu jamaa ni mtani wako,ni kweli unakaa nyumbani kwa mzee au kwenye nyumba tofauti lakini inayomilikiwa na baba,just curiosity!.

- Kaka hata wewe na yeye mnaonekana baba zenu hawana nyumba na wewe pia huna nyumba, halafu si mfungue thread ya members humu wenye nyumba na wasiokuwa nazo au? ha! ha! ha!

Le Mutuz System
 
Ungekaa na Mshua wako akwambie ni sababu zipi zilimfanya aongoze G55 wakati Mzee Kifimbo akiwa bado hai na sababu hizo bado hazijabadilika kabla hujaamka kumrukia mtu ambaye huna Moral wala academic Authority ya kuhoji kile alichopendekeza
 
Ungekaa na Mshua wako akwambie ni sababu zipi zilimfanya aongoze G55 wakati Mzee Kifimbo akiwa bado hai na sababu hizo bado hazijabadilika kabla hujaamka kumrukia mtu ambaye huna Moral wala academic Authority ya kuhoji kile alichopendekeza

- Kwa hiyo wewe kumbe huwa unakaa na mshuwa wako kabla ya kuja hapa? ha1 ha! ha!

Le Mutuz System
 
Hii ndio krimu ya ccm, Wilium Malecella ndie wanaccm wanamwamini kama great thinker wao,

Kwanini Chama kisife kama kweli kinategemea matahira kama huyu???
 

- Mimi nashindwa kumuelewa exactly anachotegemea kufanikiwa, na jana WHY ITV? Ndio maana ninasema kuna maswali mengi sana ya kujibu kuliko Maoni ya Tume!1

Le Mutuz System
 

We dogo huna hoja,umelelewa kwa kodi za watanzania,umesomeshwa shule bora,unatibiwa Hosptar bora kwa jasho la maskin hawa wa tanzania,sasa tena unataka na kizazu chako kienderee kunyonya maskini hawa? kwani hauwezi kuishi kwa kuwa mwalmu?machinga?mkulima ama mvuvi?umelelewa kijinga una mawazo ya kijinga na maamzi yako ni ya kijinga,kwani ccm ni mungu?kwamba ni Alfa na omega?
 
Hii ndio krimu ya ccm, Wilium Malecella ndie wanaccm wanamwamini kama great thinker wao,

Kwanini Chama kisife kama kweli kinategemea matahira kama huyu???

- Kaka yaani kweli chama kilichokupiga kwenye uchaguzi wa Madiwani majuzi, kikakupiga kwenye uchazui Kalenga halafu tena kikakupiga uchaguzi wa Chalinze unasema kitakufa kabla ya chama chako mnachopiga ngumi wasiokubali uhuni wenu? Please kaka!!

Le Mutuz System
 

- Eti kaka wewe ni Warioba au?

Le Mutuz System
 

Umeongea mengi sana lakini sijakuelewa. Au labda kama kuna post ulishaweka na sijaipitia. Hivi Warioba kama aliandika na kukabidhi maoni yake, je yale ya tume yako wapi? Manake alikuwa akiongoza tume ya magwiji nchini ambao uteuzi wao ulipitia hatua nzuri tu. Je hao wengine waliamua kumuachia huyo mzee aandike maoni yake na kuacha ya wananchi? Naomba unifafanulie mana hao jamaa wamekula kodi yangu
 
- Kwa hiyo wewe kumbe huwa unakaa na mshuwa wako kabla ya kuja hapa? ha1 ha! ha!

Le Mutuz System

Mshua wangu hakuhusika kwa nmna yoyote na G55 ambayo hata nusu ya Mapendekezo ya katiba hayajafikia matakwa aliyokuwa nayo mshua wako.Kwa sababu Mna-share DNA akikueleza utamwelewa vizuri.Tumia muda wako vizuri kwenda kumwuliza
 
sisi kama ccm, sisi kama ccm, ina mana watanzania zaidi ya million 40 wasiokuwa wanachama wa ccm katiba haiwahusu! wee jamaa ni vuvuzela mchumia tumbo! mzee mzima bila haya unaishi maisha ya kuji pendekeza!!!
 
Mfumo wa Muungano wa S2 Ulifaa mazingira na voiongozi kama Nyerere na Karume na si vinginevyo.

Kama Nyerere alisema asiyeweza kuitetea katiba aliyoapa kuilinda ni Msalit,ina maana Rais Kikwete ni msaliti kuruhusu katiba kuvunjwa

Hafai na hafai kutuongoza kwa lolote la maana haswa kutengeneza katiba ya wananchi bila kutusaliti tena
 
Anataka katiba yenye kujali maslahi ya wananchi,siyo wewe mzee mwenye miaka 51,lakini unaakili kama za mtoto mwenye miaka 14!
Unapoendesha Noah na kupiga mziki mkubwa basi unaona umeyapatia maisha!

nimecheka sana,hivi kukaa USA miaka yote hiyo ameleta nini hasa hapa Tanzania?
 

naomba nikuulize swali wewe William Malecela,,,,,hivi kila mwenye mawazo tofauti na nyie ni adui yenu?kwa nini msisikilze maoni ya wananchi???mnaogopa nini?
 


- Umekuja kujibu usiyoyaelewa? ha! ha! ha!

Le Mutuz System
 
naomba nikuulize swali wewe William Malecela,,,,,hivi kila mwenye mawazo tofauti na nyie ni adui yenu?kwa nini msisikilze maoni ya wananchi???mnaogopa nini?

- Naona umechoka kutukana matusi kaka maana hii huwa sio kawaida yako, mzima lakini maana siku hizi sikuoni tena upo mjini?

Le Mutuz system
 
- Mimi nashindwa kumuelewa exactly anachotegemea kufanikiwa, na jana WHY ITV? Ndio maana ninasema kuna maswali mengi sana ya kujibu kuliko
Le Mutuz System

Huwezi kumuelewa kama hutaki kumuelewa. I am trying to be neutral and matured here I hope you are so as well. I love this union tukubaliane kuuboresha na kama kweli tuna nia hiyo. Sikubaliani na Ccm wala Ukawa jinsi hoja zao zinajengwa kwa msingi wa maslahi ya kisiasa si msukumo wa nia ya dhati ya muungano. Tuko pamoja au wewe unaupande ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…