Warioba amesema "eti mwalimu akirudi ghafla akakuta maraisi wawili wanapigiwa mizinga 21 angeshangaa sana" Huyu mzee ni bure kabisa mizinga hata maiti ya mwanajeshi inapigiwa sasa hapo mizinga ina thamani gani mpaka ikawa ni hoja?
Tume ya Warioba ni tume ya tatu. Tume ya kwanza ilitoa mapendekezo ya wananchi kuwa ni serikali tatu, Chama tukakataa, tukaunda tume ya Pili, nayo pia ikaja na maoni yaleyale ya serikali tatu, chama tukasema HAPANA. tumeunda tume ya tatu, nayo pia inasema maoni ya wananchi ni serikali tatu. Chama hatuwezi kukubali kwa kuwa hawakusema tunachotaka. Katiba hii ni ya chama au ya wananchi?
Warioba eti anasema "wasizungumzie takwimu au gharama watafute majibu ya hoja na maswali"
hivi kweli kuchakachua takwimu siyo hoja? au gharama siyo hoja? Warioba amejidhalilisha kweli.
Kikubwa kabisa wewe ni mbaguzi. Na utakuwa umeona jinsi wabaguzi wanavyoadhibiwa Ulaya (mfano kwenye michezo).maneno yasemwayo na waunguja kuwa hata umtendee wema mpemba kiasi gani hana shukrani.
Kwa hiyo warioba aache polojo zake waunguja ambao ni wengi na ambao asili yao ni bara wanataka muundo huu uendelee ila uboreshwe tu bado wanawataka ndugu zao wa bara hao wapemba kwanza wengi wao walishaukana uafrka na wanajiconsider wao ni waarabu ndo wanaotaka kujitenga wajiunge na nchi za kiarabu kwa hiyo warioba dont be pawn in a chess game which you dont even know father.
Huu ni uwongo Ilala ni kifupi cha la ila ilala wa wasiojua wakapaita ilala lakini ni kifupisho cha neno lefu na ilimaanisha zamani maeneo ya boma kuja mpaka karibu na buguruni ni sehemu iliyokuwa makazi ya waarabu na wasomali na waswahili.
Warioba na wajumbe wenzake wa tume wameleta maoni na mapendekezo ya wananchi. Aliyewatuma ni rais. Acha kupiga porojo wenzako wamefanya utafiti kisayansi. Hao waunguja ulikutana nao wapi na unatakwimu zozote kuthibitisha hilo?
Malawi pia wanayo Ilala kwa taarifa yako,Inabidi urudi darasani ukajifunze historia ya lugha ya kiswahili na lugha ya kibantu kwani nina uhakika hujasoma hayo mambo ukisoma nahisi utachanganyikiwa sana.Nilikuwa nchi flani ya kusini mwa Afrika,Nilikuwa nime-chill somewhere na wadada flani wa nchi hiyo katika mazungumzo yao yaliyotawaliwa na lugha ya asili ya kabila lao (Ovambo) nikasikia wakitamka neno m-a-s-a-b-u-r-i nikashtuka sana,nikajikuta nacheka na kuyaingilia mazungumzo yao,nikawauliza tena.."come again,did you say m.a.s.a.b.u.r.i?" wakasema ndiyo kwa kujiamini wakidhani sikuelewa maana ya lile neno.Nikawaambia hilo neno kwa maana ya kiingereza wakashangaa sana then nikaja kuelewa kuwa kumbe maneno ya kibantu yapo mengi sana na yanatumika katika mawasiliano yetu ya kila siku sehemu mbalimbali za Afrika.Wazambia na Wamalawi wanaoongea lugha ya kilozi unaweza ukawaelewa vizuri kutokana na maneno yaliyomo kwenye lugha hiyo pia kutumika kwenye ya kiswahili.Soma sana historia mbalimbali ili upanue ufahamu wako mzee.
Ni wewe ndo unayeutaka utanganyika siyo sisi wote mtoto soma ndo mana ukaambiwa msome msisubiri kina tundu lissu wawasomee matokeo yake ndo haya sasa kila wanachokisema mnaona ni kweli tu kama wao miungu,unaongea maneno hayo sembuse hata miaka 38 hujafikisha halafu unang'aka ooh naitaka tanganyika we uliiona hiyo tanganyika?? je kama tanganyika ni jini je likija likakumeza we utajuaje? ndo mana mkaambiwa msome vijana sio polojo tu kisa dr.slaa kasema mkipingwa kidogo mnasema oo huyu katumwa oo huyu CCM!! katumwa gani basi nyinyi ndo madikteta wakubwa mana mtu akiwapinga kidogo tu kwenye mtazamo mnamwita mamluki mnataka kila m2 na kila mwanachama wa chadema afikirie kama kile anachofikiria dr.slaa na tundu lissu sasa kama ni hivyo mungu alikuumba na ubongo wa kazi gani wewe dogo??
fikiri kabla hujaongea zito kaja na hoja za uzalendo kawasifu ccm pale wanapopatia mnasema kibaraka!! mbona marekani leo hii kuna republican wengi tu walimwunga mkono obama kwenye obamacare na walimpigia kura kwenye congress?? sasa na wale ni wasaliti?? huo ndio maana ya uzalendo kwa nchi yako dogo sio unakurupuka tu ukadhani wote tuko sawa wenzako tunafikiri na kuumiza kichwa kabla hatujaandika!! umeshaambiwa wanaoshabikia kuvunjwa muungano wote ndo hao hao wanaotaka serkali 3 pia znzbr haina mapato mengi kuweza kutoa kama tsh.bilioni 5 kwa serkali ya muungano ila bara uwezo tunao sasa serkali ya znzb ikishindwa kupeleka fungu lake kwa serkali ya muungano miaka mi 4 tu muungano haujafa huo?? tumia akili zako dogo.
Utanganyika utakupatia tonge? Tanganyika ni jina tu kwa taarifa yako Tanganyika ni jina la kimanyema na wamanyema asili yao Congo kwa hiyo Tanganyika ni jina la Kikongo ndiyo maana kule Kigoma waliongoza kwa kudai Serikali tatu
Tatizo lako we kijana unadhani wanaotaka Tanganyika ni CHADEMA peke yao, mimi sina kadi ya chma nachokitaka ni Tanganyika yetu, wewe endelea kupewa hivyo viposho kwakuwa unataka kula bila kutoka jasho lakini kaa ukijua kama Zanzibar haitaki kupoteza identity yake, haiwezekani Tanganyika ipotee.
Nakupa angalizo mimi siyo siyo mtu wa umri wako, nimekuwepo tangu Miaka ya azimio la ARusha hivyo tumeiona hii nchi toka enzi hizo hadi leo. Mzadiki mkubwa wewe.
Utanganyika utakupatia tonge? Tanganyika ni jina tu kwa taarifa yako Tanganyika ni jina la kimanyema na wamanyema asili yao Congo kwa hiyo Tanganyika ni jina la Kikongo ndiyo maana kule Kigoma waliongoza kwa kudai Serikali tatu
Ndiyo maana hata serikali ilimshinda wakati akiwa waziri mkuu mpaka akajiudhuru wadhifa wake ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa wanaopenda kulazimisha mambo hata kama hayana maana yapite.