Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?
- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?
- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?
- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?
- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!
- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?
Le Mutuz System
Malecela upo Sahihi Warioba sio Mungu ni wapotofu wanaosema Huwezi kumkosoa Asokoselewa ni MUNGU PEKEE , Wengine wote wanakosolewa tu JAPO ni KWA HOJA NA SI MATUSI.
Misingi wa Hoja ya Serikali 3 ni Kuwa eti ni Maoni ya Watanzania Wengi,TAKWIMU ZAO WENYEWE ZINAWAUMBUA KUWA HILI SI SAHIHI.
HITIMISHO linalotokana na TAKWIMU ZA "KUPIKA" haliwezi Kuwa HITIMISHO SAHIHI ni BATILI TOKEA AWALI Lugha ya Kisheria "VOID AB INITIO"
CCM walipita,CDM ,CUF nk nk Lakini akachagua CCM tu why???? kaons CCM tu.....????
Ukweli alijua JK Mbaya wao(MWALIMU NYERERE FOUNDATION) atabaki ktk Historia Kama Kiongozi aliyewezesha KATIBA ya Wananchi WENYEWE.
Wao wakaona ni sehemu ya KU SETTLE SCORES kwa Kuanzisha Mchakato wa UASI SERIKALI 3 ili JK aonekane amevunja LULU YA MUUNGANO kupitia NIA Njema ya Mchakato wa KATIBA.
WARIOBA na Baadhi ya Watu Ndani ya Timu Yake SI wote Hawakuwa na NIA Njema na JK binafsi kwa a Wachambuzi Makini Wanajua Hilo!!
Taasisi Yao ikimshambulia Mfululizo Miaka ya mwanzo wa Kipindi Cha Pili wa Miaka 5 ya mwisho, Airport akirejea toka USA alipohojiwa kuhusu Mashambulizi ya Taasisi ya Nyerere Foundation ikiongozwa na BUTIKU,SALIM,WARIOBA wote Wajumbe WAANDAMIZI WA TUME YA KATIBA ALIMJIBU MUANDISHI Yule aliyeuliza Swali Nanukuu "wewe hujui kwa NINI wananishambulia mimi na Serikali Yangu???, Hakika Ningeshangaa Saana Kama Wangenisifia, katika Dunia Hii Huwezi Kusifiwa/kupendwa na watu wote Hatua Ungekuwa Mwema kiasi Gani ,Asilimia 15 watakupenda,15%watakuchukia,60% watafuata upepo" mwisho wa kumnukuu JK.
JK Alitumia Busara ya Wazee "Mchawi Mpe Mwanao Akulelee" Ila Mchawi Huyu AKAMPA SUMU MTOTO WA JK Hakumlea Vema.
Ukweli utajulikana tu
William upo Sahihi Kabisa
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?
Le Mutuz System
Hivi mtoa mada Unataka nini hasa?