Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
- Thread starter
-
- #61
Mkuu unatumia macho yenye lens ya magnification kiasi gani maana hilo la chupiless silioni kwa my naked eyesHapana!jamani hii co kata kei!!kaacha tu kanafasi kidoogo ili hewa iingie,c unaona nguo yenyewe imembana?n hata chup cdhan kama kavaa?anyway dar joto sana,no need!
Mkuu unatumia macho yenye lens ya magnification kiasi gani maana hilo la chupiless silioni kwa my naked eyes
Naombeni kuuliza swali hasa kwa wanaume....eti kati ya hawa anayefaa kuwa mke ni yupi? Na kwanini?
Naombeni kuuliza swali hasa kwa wanaume....eti kati ya hawa anayefaa kuwa mke ni yupi? Na kwanini?
Hii kata kei mie hoi!@@
Hata kama ni jioni mkuuu sio kuvaa vilee unajua sisi asili yetu ya waafrika nikujisitili sio kuacha kila kitu wazi imagine umetoka na wife wako kavaa vile utakuwa huru au dad au mdogo wako mmetoka jioni we have to be realisticwangekuwa wamevaa mchana au kanisani tungeweza kulaumu...! hizo in evening wear...! HAKUNA UBAYA HAPO...! ulitaka wavae madera jioni..?
WANAUWAKE NI MAUA..! si unaona wanavyo vutia kuawaangalia..!
wangekuwa wamevaa mchana au kanisani tungeweza kulaumu...! hizo in evening wear...! HAKUNA UBAYA HAPO...! ulitaka wavae madera jioni..?
WANAUWAKE NI MAUA..! si unaona wanavyo vutia kuawaangalia..!
Hata kama ni jioni mkuuu sio kuvaa vilee unajua sisi asili yetu ya waafrika nikujisitili sio kuacha kila kitu wazi imagine umetoka na wife wako kavaa vile utakuwa huru au dad au mdogo wako mmetoka jioni we have to be realistic