Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Oh my god !!
Kwani kifo hupiga hodi?
Wakati ukifika, Kifo hakisubiri dakika yalo bakia ni sababu......
Mungu amrehemu na siye atupe rehema.
kind thanks ofcoz, big GUkiandika God anzaga na herufi kubwa basi aisee
good day Mkuu,kind thanks ofcoz, big G
kwani wewe unajua anamaanisha God au god!!Ukiandika God anzaga na herufi kubwa basi aisee
Good day nashukuru Mkuu,Ukiandika God anzaga na herufi kubwa basi aisee
Kuhusu 'anzaga'? Nipashe tu ndugu yanguGood day nashukuru Mkuu,
Mafunzo yako ni faida kwangu; Je, nami nikuaarifu kiduchu are you ready to accept? its a nice one!! nikupashe
Za jioni,kwa elimu nilonayo tunapo zungumziya God !!Kuhusu 'anzaga'? Nipashe tu ndugu yangu
Sidhani kama hii ina ukweli wowote... Yani drier iunguze hadi kupasua fuvu wakati ngozi na nyama vilikuwa havijaungua! Nimechemsha sana supu, najua nyama zinaiva kabla mifupa haijalainika...