Warembo wanaojijua ni warembo haswa wengi lesbians

Napenda ordinary girls, hao wanaojiona matawi hapana
 

Jamani mmmmhhhhmmm let me stop . Thanks.
 
acha hizo ku-quit ongea kidogo

The only thing I can say sio wote wako hivi kama topic inavyosema. Kuna wengine wazuri lakini Wakaamua kuwa single because ya kuumizwa sana na nyie ( wakaka) na kuamua kuwa single it.doesnt mean that eti sisi ni lesbians no ni msimamo tuu wa MTU na ni maamuzi yao or yetu pamoja na uzuri wetu. Hebu naomba tuwasikilize na wengine. Thanks!
 
hujawahi gundua warembo ambao wanajitenga mda mwingi na kujiona unique friends zao ni gays?
 
hujawahi gundua warembo ambao wanajitenga mda mwingi na kujiona unique friends zao ni gays?

Still mdear sio wote . Ni pendekezo la MTU na MTU so inategemea dear . Yes I agree kuna wengine wako hivyo lakini sio lesbians mpendwa , ni full straight its just hawajapata or kuona wanaowafaa na hii ni kutokana kuumizwa sana maishani mwao . Thanks!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…