Hahahaaaa.. kati ya wimbo ambao huwa nikizisikiliza nacheka jamaa anavyoizungumzia huo mkasa wake.
Any way. Kwa mtazamo wangu, naonaga mtu anayejijua ana uzuri fulani, then akawa mnyenyekevu hio sifa huonekana mara mbili ya yule anayeishi kwa kutembea kifua wazi na hio sifa yake ya uzuri au mali au vyovyote. Nawakubali sana watu wenye unyenyekevu, watu ambao utu wao na haiba yao inatangulia mbele ya mali, kazi au uzuri alio nao.
Naamini ukiwa na kitu ukakionesha makusudi kwa lengo la kuonekana, hakika hakitaonekana unavyotaka kionekane ila watu wataona kilicho nyuma ya unachotaka waone.
Kwa mnaojijua na kujitambua kuwa mna sifa ya ziada, Keep it low, Be gentle and humbe to yourselves, let all that you have speak for themselves.
Kwa huo uchunguzi wako, sina uhakika wowote kwa sasa, naomba tu niishie hapa Mkuu
Viol