Fiziolojia JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 815 Reaction score 1,085 May 31, 2020 #61 Viol said: Ni mrembo aisee kuna moja pia nimesahau jina ana vipindi vyake kuhoji watu maarufu ila si wasanii hasa hasa wanasiasa( ila siyo mboni ) Click to expand... Huyo ana shingo ndefu nzuri kama twiga.
Viol said: Ni mrembo aisee kuna moja pia nimesahau jina ana vipindi vyake kuhoji watu maarufu ila si wasanii hasa hasa wanasiasa( ila siyo mboni ) Click to expand... Huyo ana shingo ndefu nzuri kama twiga.
Fiziolojia JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 815 Reaction score 1,085 May 31, 2020 #62 Drone Camera said: Kuna mwingine sijui anaitwa Janeth Leonard, nilimwona 2017 anamhoji RC wa zamani wa Dar es salaam.Picha yake na yenyewe iwekeni Click to expand... Hii ni pini zaidi ya huyo mramba.
Drone Camera said: Kuna mwingine sijui anaitwa Janeth Leonard, nilimwona 2017 anamhoji RC wa zamani wa Dar es salaam.Picha yake na yenyewe iwekeni Click to expand... Hii ni pini zaidi ya huyo mramba.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,189 Reaction score 20,636 May 31, 2020 #63 Hiyo picha ya kwanza ile kuiona tu naona hapa signal kwenye boksa inasomeka H+ kutoka 3G
Fiziolojia JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 815 Reaction score 1,085 May 31, 2020 #64 N'yadikwa said: https://www.google.com/url?sa=t&so...OvVaw2-cf6gS8_erZ91sRCkRyqq Ingia hapo umsome Click to expand... Broken link.tuma tena mkuu
N'yadikwa said: https://www.google.com/url?sa=t&so...OvVaw2-cf6gS8_erZ91sRCkRyqq Ingia hapo umsome Click to expand... Broken link.tuma tena mkuu
Fiziolojia JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 815 Reaction score 1,085 May 31, 2020 #65 Jane Lowassa said: Sasa huyo wa kwanza hapo juu na mkitambi wote huo eti mrembo. Mfyuuuuuuuuu Click to expand... Mmmhh!! Kwa hii comment yako inanifanya niamini Elizabeth mramba ni mrembo zaidi yako ndio maana unamchukia watu tunavyomsifia.
Jane Lowassa said: Sasa huyo wa kwanza hapo juu na mkitambi wote huo eti mrembo. Mfyuuuuuuuuu Click to expand... Mmmhh!! Kwa hii comment yako inanifanya niamini Elizabeth mramba ni mrembo zaidi yako ndio maana unamchukia watu tunavyomsifia.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,189 Reaction score 20,636 May 31, 2020 #66 Jane Lowassa said: Kawaida sana mbona. Sema editing za picha zimewabeba Click to expand... Acha wivu
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,014 Reaction score 23,663 May 31, 2020 #67 Saint Ivuga said: Hivi unamjua shamim vizuri kweli? Tatizo lenu wasukuma mkion rangi nyeupe mnachanganyikiwa Click to expand... Issue sio kuwa mweupe Bali kuwa na Sura yenye mvuto mbona Rose ndauka Ni mzuri lakini Ni mweusi kazidi macelebrities wengi tu wa kibongo narudia Tena shamim Hana sura yenye mvuto kabisa.
Saint Ivuga said: Hivi unamjua shamim vizuri kweli? Tatizo lenu wasukuma mkion rangi nyeupe mnachanganyikiwa Click to expand... Issue sio kuwa mweupe Bali kuwa na Sura yenye mvuto mbona Rose ndauka Ni mzuri lakini Ni mweusi kazidi macelebrities wengi tu wa kibongo narudia Tena shamim Hana sura yenye mvuto kabisa.
0ozg Tz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 4,168 Reaction score 11,229 May 31, 2020 #68 Miguu mizur n ugonjwa wangu,huyo mtoto wa kwanza picha yake unaweza ombea mkopo bank
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,590 Reaction score 60,795 May 31, 2020 #69 NEVADA said: Sura ngumu kama wanaume WA Mbeya Click to expand... 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 May 31, 2020 #70 Fiziolojia said: Hii ni pini zaidi ya huyo mramba. Click to expand... Yeah boss...itakuwa TBC wanakipengele cha urembo wakati wa interview
Fiziolojia said: Hii ni pini zaidi ya huyo mramba. Click to expand... Yeah boss...itakuwa TBC wanakipengele cha urembo wakati wa interview
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,189 Reaction score 20,636 May 31, 2020 #71 Hawa viumbe hawatabiriki mwenye 1,000,000 anaweza asile mzigo ila wewe mwenye chocolate bar ukala mzigo
Hawa viumbe hawatabiriki mwenye 1,000,000 anaweza asile mzigo ila wewe mwenye chocolate bar ukala mzigo
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,189 Reaction score 20,636 May 31, 2020 #72 0ozg Tz said: Miguu mizur n ugonjwa wangu,huyo mtoto wa kwanza picha yake unaweza ombea mkopo bank Click to expand... Ukiwa nayo faragha uwe unaitandaje hiyo miguu mkuu unailamba kama icecream?
0ozg Tz said: Miguu mizur n ugonjwa wangu,huyo mtoto wa kwanza picha yake unaweza ombea mkopo bank Click to expand... Ukiwa nayo faragha uwe unaitandaje hiyo miguu mkuu unailamba kama icecream?
Dividend JF-Expert Member Joined Jan 15, 2017 Posts 2,131 Reaction score 3,397 May 31, 2020 #73 Fiziolojia said: Toto la kichaga. Click to expand... Hilo guu sijui kalitolea wapi
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,386 Reaction score 16,710 May 31, 2020 #74 Wake za watu haoo.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,840 Reaction score 132,086 May 31, 2020 #75 Vyura vipo lakini Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 7,992 Reaction score 12,036 May 31, 2020 #76 Oooh huyu dada mwe
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,102 Reaction score 184,848 May 31, 2020 #77 yna2 said: Dada wa Kwanza rangi😍 Click to expand... Alafu mmefanana... sema yeye kuna eneo umemzidi... Cc: mahondaw
yna2 said: Dada wa Kwanza rangi😍 Click to expand... Alafu mmefanana... sema yeye kuna eneo umemzidi... Cc: mahondaw
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 May 31, 2020 #78 Smart911 said: Alafu mmefanana... sema yeye kuna eneo umemzidi... Cc: mahondaw Click to expand... Dada mzuri huyo alafu portable
Smart911 said: Alafu mmefanana... sema yeye kuna eneo umemzidi... Cc: mahondaw Click to expand... Dada mzuri huyo alafu portable
Mwambawetu JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 25,430 Reaction score 34,457 May 31, 2020 #79 Viol said: Siku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816 Click to expand... Elizabeth Mramba ni chombo japo weupe nao unambeba. Cc Numbisa uje uone warembo huku. Sio kazi kumponda Diamond tu
Viol said: Siku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816 Click to expand... Elizabeth Mramba ni chombo japo weupe nao unambeba. Cc Numbisa uje uone warembo huku. Sio kazi kumponda Diamond tu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,103 May 31, 2020 #80 Cheiii mie mwenyewe mrembo kama kwenye avatar hapo Kipangaspecial said: Elizabeth Mramba ni chombo japo weupe nao unambeba. Cc Numbisa uje uone warembo huku. Sio kazi kumponda Diamond tu Click to expand...
Cheiii mie mwenyewe mrembo kama kwenye avatar hapo Kipangaspecial said: Elizabeth Mramba ni chombo japo weupe nao unambeba. Cc Numbisa uje uone warembo huku. Sio kazi kumponda Diamond tu Click to expand...