Warembo wa JF enzi hizoo

waooooooooooooooo! umeipata wapi hii picha wewe au ulinifotoa wakati bday yangu?

hebu nirudishie mwenyewe kwani nimeitafuta kwa album yangu kumbe unayo wewe?
bestito pls irudishe kabla sijakusemea kwa mama

Hahahahaaaa urembo ulianza muda sana kumbe hii picha ulinipa wakati ulee ukasema ni dhawadi yangu eti
 
Sikukupa bhanaaa ulichukua bila idhini yangu ukanilaghai na kusema toto zuri nipe hiyo
ndo nkakupa sasa hapo nini? Hebu ilete au nipe negative yake nkasafishe stuidio.
hahahahaaaa urembo ulianza muda sana kumbe hii picha ulinipa wakati ulee ukasema ni dhawadi yangu eti
 
Sikukupa bhanaaa ulichukua bila idhini yangu ukanilaghai na kusema toto zuri nipe hiyo
ndo nkakupa sasa hapo nini? Hebu ilete au nipe negative yake nkasafishe stuidio.

Hahaaahaaaa halafu umenikumbusha negative Siku hizi hiyo kitu ni msamiati
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…