Hakuna mkono wa mtu Mshana Jr. Naona ni technical hitch tu hasa kama kuna msururu wa images.Ilishantokea mimi pia wakati fulani.Kuna jambo si bure
Hakuna mkono wa mtu Mshana Jr. Naona ni technical hitch tu hasa kama kuna msururu wa images.Ilishantokea mimi pia wakati fulani.
huyuo ni miss chagga nimefungia wengine wananizidi uzuri
Unavyopenda fedha najua akikutipu kidogo utawafungulia!
Ndiyo pesa kila kitu acha kabisa pesa mbele
Miss chagga za asubuhi.