usafiri unauficha na jeans .....sura unaificha na nini?..........hafu kwenye naniliii hauangalii usafiri kitu face to face.....
Hizi jinsia za kubahatisha nazoHehehe...mbona ana manyonyo makubwa tu huyo jamani...atakuwa ni KE atiii
hawa ndio warembo wa ARUSHA TOWN Zinduna
Hizi jinsia za kubahatisha nazo
leo tutakomaje.....bado wa Yaeda sasa.....nasubiri.....
View attachment 90663
nimewaangalia sana mnavyoponda!
haya sasa passion lady
nimekuja,hapo sijajikoroga
wala nn,mtt natural beauty
huo ndio uzuri na urembo wa mtu
sio mtu unajikoroga thn unajifanya mzuri!
arachuga warembo wapo wa kumwaga
halafu wewe kiwatengu nakupimia tu!!
i love u Ruttashobolwa lol!!!
Mbona mi siwaonagi hapa town?
wana bahatiii, meno masafiiii si kawaida