Warembo Viwango Approved By Allien

nimetathmini weeeeeeee.
nikaona unapenda dizaini za macelulite kimtindo.......lakini ni warembo......sijasema ni wazuri....usije ukamix.....
 

Hapa baadhi weshachoka......nilikutana na Saida nikamsahau......kanenepa huyo.....
Hoyce bado anatesa.....Richa sijui kapotelea wapi......mweeee.....urembo maji ya moto jamani....
 
Aisee Allien ee hii picha ya Dem wangu umeitoa wapi ulimpiga lini? nimepekua kwenya kabat ya nguo zake hiyo nguo aliyopigia picha sijaiona ilikuwaje Comrade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…