naona watu wamejaa kwenye hii thread lakini hawachangii, hii inaonyesha jinsi watu wanavyo-admire uumbaji kimya kimya. Big up
Allien
Angalizo: wengine wapo vitandani na wake zao lakini macho yamekodolewa kwenye huu uzi......................... ukigundulika hapo....................... shauri yako