Natafuta Rafiki Wa Kike Ambaye Tutashilikiana Na Na Kusaidiana Mambo Mbalimbali, Mlembo Huyu Ni Vizuri Asiwe Mke Wa Tu Lakini Awe Na Mpenzi Mmoja Yani Mimi Niwe Wa Pili, Alafu Ni Vizuri Akanitambulisha Kwa Huyo Mpenzi Wake Ili Niwe Namuheshim, Lengo Langu Ni Urafiki Udum Akinunua Sim Yeye Mimi Nitakuwa Nanunua Vocha Ili Usimchoshe Anunue Sim Na Vocha Ajaze Yeye? Akinunua Nguo Mimi Nanunua Viatu, Ili Tusichoshane Mapema, Alietayali Anitafute
siyo Walembo ni Warembo
siyo Walembo ni Warembo
Walembo ni akina nani?
Kweli wewe Katusyo
Duh! Una mapenzi ya ajabu hata shetani anayaogopa!
Unajua Shida Ya Kujifunzia Kiswahili Ukubwani Ndugu Nashukulu Kwa Msaada Wako Nataka Karembo Si Ndio?
Hata wa kibongo hawawezi kukuelewa....kwa namna hii...nenda pale kona baa..hauna haja ya kuongea chochote ni tarakimu tu utawapata wengi...Lakini Turudi Kwenye Mada Je? Napata Hitaji Langu Au Rugha Itanikosesha? Bahati Mbaya Au Nzuri Mimi Ni Mtaalam Wa Kiportguezi Lani Mabint Wa Kiportguezi Sijawaelewa Kabisa Ndio Maana Nimeona Nitafute Nyumbani Sasa Naona Wanaume Mmpanic Zaidi Kuliko Wanawake Au Mmekava Kila Kona Mmehoeu Tangazo Mmehisi Madem Zenu Watachepuka?