Ata sie wanaume hatupendi pale ambapo huna hela basi hawataki kukusikia kabisa...we have learned to live with that...no money no honey.Tatizo watt wa kike hawapendi hivyo
Ni kweli kabisa. Nilishawahi kuwa na mtu alikuwa busy hatari....siku kama mimi niko free ananiambia njoo mjini tupate lunch pamoja. Nikifika pale naweza kusubirishwa hata lisaa ila mwisho wa siku tunapata hata nusu saa ya kuwa pamoja. Na baadhi ya safari za kikazi alikuwa anataka twende wote ila mimi sikuwa nataka tu
Kwahio mi nakuza mambo sio πππ subiri nirudi hapo nyumbani leo! Huwez kunletea mdomo kwenye midia!Achana na mtoa mada, ndio zake kukuza mambo na kukatisha tamaa watu waone mambo fulani hayawezekani wakati ni marahisi tu
kabisaa, si uwongoAta sie wanaume hatupendi pale ambapo huna hela basi hawataki kukusikia kabisa...we have learned to live with that...no money no honey.
Wao pia wajifunze kuishi na kanuni yetu ya more money more honey.
Utarudi saa ngapi na uko bize kusaka chapaa...we pambana baba tutaonana mwakani, usisahau kunitumia ile milioni babyKwahio mi nakuza mambo siosubiri nirudi hapo nyumbani leo! Huwez kunletea mdomo kwenye midia!
Nikikuambia sababu utachekaSasa kwa nini ulikuwa hutaki kwenda naye safari?
Khantwe anajiamini bana ila wewe ungetaka uende ili umchunge eti kama ana videmu vyengine
Nikikuambia sababu utachekana baadae utaniuliza kwa nini tuliachana
Halafu anakuja mpuuzi na kusema wanaume tuwe sawa kama wanawake na tukubali kufilwa (kuwa wasenge) , mwisho wa siku anakimbilia Ubelgiji kupakatwa. Walimwengu kwa usanii bwana.Ukiwaelewa hao ujue unakaribia kufa..πππ.
'Men' tufanye kulingana na uwezo wote.
Fanya tu kunirahisishia mambo, nipo story yote briefly
omba uoteshwa kwa sababu unachotaka hakitatokea
Hahaa.. Hapa ndio anaponivuruga, yaani wanaume zaidi ya bilion kadhaa huko, tuwe na tabia moja, hao mapacha tu ni nadra mnoo kufanana tabia.Halafu analazimisha kila mtu yuko hivyo