Warembo chagueni moja basi

Hao wa hivyo wengi hawana nguvu za kiume mangi! Ndio akina Kapuya hao au kina late Mengi. Inshort miili yao inakuwa ishachakaa
 
Heheheh bibie muda umekuwa finyu mambo ni mengi, mzee amesema hii sio awamu ya raha, hata mkewe hampi raha. Sasa mi nawewe ni akina nani mpaka tule raha?

Ni mwendo wa kuchapa kazi tu 😂 raha tutakula 2025 huko maybe.
 
Hahahahahaaaaa! labda amepewa jukumu hilo
 

Nipo very specific nataka pesa

Napatana sana na wanaume ambao wapo very busy kutafuta pesa kuliko walio free
Mi mwenyewe nipo busy haiwezekani mwanaume uwe free kuniliko
‍♀️
‍♀️
‍♀️
‍♀️
 
Ni kweli kabisa. Nilishawahi kuwa na mtu alikuwa busy hatari....siku kama mimi niko free ananiambia njoo mjini tupate lunch pamoja. Nikifika pale naweza kusubirishwa hata lisaa ila mwisho wa siku tunapata hata nusu saa ya kuwa pamoja. Na baadhi ya safari za kikazi alikuwa anataka twende wote ila mimi sikuwa nataka tu
 
"Mwanangu wewe ni mtu mzima nachokushauri kama ukimpendea hela basi kubaliana na hali yake
Kama ukampendea umaskini wake basi kubaliana na hali yake
CHAGUA KIMOJA =MAMA

Nadhani sister anaenjoy maisha
 
Hii ni both sided pia, mwanamke akikupenda yupo radhi hata kugombana na wazazi wake atatoroka aje kuwa na wewe tu.
 
Ukweli mtupu hapo. Mwanaume nina mihela kwa nini nisigegede warembo
 
Wanawake ni wa kuwaongoza na viongozi ni Wanaume.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…