Warden I -IFM

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Utumishi wametangaza nafasi mbili za warden one na sifa zote ninazo ila wanasema aliyefanya kazi hyo kwa miaka mitano.
Mimi nimekuwa patron shule ya sekondari miaka minne sasa.Je hyo inatosha km experience ya mm kuomba nafasi hyo au niwaachie marwaden wazoefu wapiganie hyo?
Pia hili suala la certified certificate vp nkitoa copy za copies ambazo nshacertify inakubalika?
 
Mmh wewe rusha kete yako,yaweza kuwa bahati yako....kuhusu kutoa copy ya certified copies sidhani kama hilo linakubalika kwakweli....binafsi sikushauri utoe photocopy ya certified copies...
 
Kakojoe ukalale !! Stupid question
Wewe sikushangai ndo vijana wa Mulugo a.k.a form four leaver 2012.
Ndo matatzo ya kunywa gongo mchana kutwa tena jua kali na wakati huo huna sifa za kupata kazi hata za kufagia barabara za jiji.
 
Wewe sikushangai ndo vijana wa Mulugo a.k.a form four leaver 2012.
Ndo matatzo ya kunywa gongo mchana kutwa tena jua kali na wakati huo huna sifa za kupata kazi hata za kufagia barabara za jiji.

Hahahaaaaaaa lolest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…