Waraka wasambazwa

Ujumbe kama huu ni kuwadhalilisha Waislamu kwa kuwaona
kuwa ni wajinga wasiopambanua mambo. Kwa nini wanapenda
kuwatumia kama testa kwenye mambo yao?...
 

Let us think for the young generation. i am sure soon we are going to read, There wa a ruling part in Tanzania called CCM. Sure I real hate CCM plus all followers
 
Ni propaganda ambazo nazisoma sana hapa JF hivyo sioni ajabu kuwepo wanaChadema wenyewe kueneza habari hizi..
 
Ukichanganya akili ya Nape, Mwigulu na Shigela, ndiyo unapata product hiyo...

Sasa hivi hao wauaji wako kimya, they know God don't want that for real. Roho zao zimejaa kutu. Namuomba Mungu kama watu hawa atawapa nafasi Mbinguni kwake mimi anichome moto tu staki hata wa na hawa watu Karibu na hasa huyu Nape na Mwiguru
 
ccm ni bomuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,ni adui wa maendeleo ya taifa hiliiiiiiiiiiiiiiiiii.sms za kutunga hazisaidii fanyeni kazi tuone....acheni siasa mfuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Yaani Magamba hayajifunza chochote kupitia sensa juu ya mbegu ya udini waliokwishaupanda tayari? Kweli akili zao ni mfu.

mtu anayekaribia kufa hawezi kujifunza lolote mkuu.,kwani atalitumia wapi wakati muda wake wa kuishi uko ukingoni?
 
CCM ni mababa ya kutunga bhana, yale yale ya mwaka 2010 kwamba Slaa akiingia ikulu damu itamwagika! kwa hali hii na woga wa watz, sijui kama tutafika!

Tutafika tu,watu wameshajua ukweli
 
Classmate (Benson Singo Kigaila) hakika juhudi zako zinaonekana ndani ya CDM. Ongeza bidii kaka, CCM wanasahau ya kuwa.....mlango mmoja ufungwapo mwingine unafunguka.....

Sio wanasahau sema hawajui.
 
Tatizo Waislam wamekuwa watu wakutumiwa sana...kama Toilet paper vile ndo maana kila kitu huwa kinaelekezwa kwao.

NiKWELI kabisa, waislam wametumiwa saana kwa maslahi ya kisiasa na CCM. Kumbukumbu zinaonesha kwamba udini ulianza kutumiwa na CCM kupitia serikali yake na makada wake tangu mfumo wa vyama vingi uingie nchini. mathalan, chama cha CUF kilipakaziwa sana kuhusu udini. CCM wakafanikiwa katika hilo.

Waislam wamebaki kulewa kasumba hizo za udini toka CCM. Katika kampeni za udini wanamagamba wanajifanya wanajali sana maslahi ya waislam na haki zao.
CHA AJABu, waislam wanapoipelekea serikali ya CCM madai yao,wakidhani CCM wameokoka, wacha Mungu wenye kujali uislam na waislam,hugeuziwa kibao na kusimangwa wakaonekana kuwa ni wachochezi, wasioridhika, washari, mazuzu wa kuigaiga uhafidhina wa kiislam, wasiojua dini yao na vitabu vyao, kwa maana nyingine huonekana maamuma.
Waislam wajue kuwa wanatumiwa tu. Udini, ukabila, ufisadi ni sera rasmi za CCM. Ufisadi umewaathiri watanzania wote. Ila waislam wameathirika zaidi.

Hembu tafiti, watuhumiwa wakuu wa ufisadi, waislam wako wangapi na wakristo wako wangapi. Jiulize walionunua viwanda vyetu na kuvichukua kuwa mali za familia zao. waislam ni wangapi. Wenye hisa Voda, Tigo wangapi ni waislam? TUAMKE, tusitumiwe kama toilet paper!!
 
Mwaka wa hasara Hakika Mjinga haujui CCM akili zao ndio zimeishia hapo.
 
baba yangu alinitumia sms yenye ujumbe huu,kiukweli ni mdini sana nikamwambia nakushukuru kwa kunipeleka shule nielimike

kwa ueleewa mdogo tu ni mbinu ya magamba unaytumiwa na magamba. kwa kuhofia MVC sidanganyiiki

Nimelipenda jina lako maana kwangu lina maana ya uvumilivu wa haki! Hatutashindwa kamwe Mtanzania, usikate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…