PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 302
- 200
Naamua kulivalia njuga hili la ajira Tanzania.
Ndugu Watanzania nchi yetu imekuwa shamba la bibi siku kibao..ila sasa tumepata mkombozi,JPM.
Mh. John Pombe Magufuli kama unasoma waraka huu, nakuomba baba utusaidie watoto wa maskini ambao wazazi wetu maskini walitumia.pesa zao kutusomesha wakitegemea chochote kutoka kwetu ila sasa imekuwa sivyo.
Na sio kwamba nchini kwetu hakuna fursa laaa!
Zipo kibao ila zimejazwa na wageni especially wahindi ambao wanaleta ubaguzi hadi kwenye nchi yetu.
Mh..Baba JPM..
Natambua ww ni mtoto wa maskini na umekulia mazingira haya ya kimaskini unajua shida za kuwa maskini...Yaan huna sauti!!!
Hakuna haja ya kukuelezea sana chamsingi nakuomba Raisi wangu hawa wageni ambao hata elimu hawana wanakuja kwetu na kulipwa pesa mingi...Linahitaji.suluhisho...
Mh..sipendi kukosoa serikali.yako ila hiv hawa wanaoshughilikia mambo ya ajira na uhamiaji hv kweli wapo ofisin au wanakungoja ndipo waanze kukimbizana?!!!
Sidhan...nasipendi kudhani hvyo..ila ndivyo ilivyo..wanakungoja!!!
JPM HUU WARAKA WAKO USOME!!!