Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,931
Ujumbe ulishaenda na utakaa mileleNi hitimisho la Usomaji wa Waraka wa TEC kwenye Makanisa yote ya Katoliki
Nawatakia Sabato njema
Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Ujumbe ulishaenda na utakaa mileleNi hitimisho la Usomaji wa Waraka wa TEC kwenye Makanisa yote ya Katoliki
Nawatakia Sabato njema
Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
haujazuia chochote watu wameshaanua hukoUjumbe ulishaenda na utakaa milele
Lakini ujumbe utabaki kwenye kumbukumbuhaujazuia chochote watu wameshaanua huko
Ujumbe ulienda wapi!?..wasubiri misikiti waliyokua wanaiogopa,tutaanza na ule wa mbeyaUjumbe ulishaenda na utakaa milele
Zanzibar imejaa misikiti na hakuna maendeleoUjumbe ulienda wapi!?..wasubiri misikiti waliyokua wanaiogopa,tutaanza na ule wa mbeya
Zanzibar utalinganisha na mbeya!?Zanzibar imejaa misikiti na hakuna maendeleo
Mbeya ipo juu mara 60Zanzibar utalinganisha na mbeya!?
Mlisema hakuna wa kushindana na TEC niliwaambia serikali za africa usishindane nazo huwa hazishindwi kitu zinaangalia maslahi tuLakini ujumbe utabaki kwenye kumbukumbu
Ndiyo maana hakuna maendeleoMlisema hakuna wa kushindana na TEC niliwaambia serikali za africa usishindane nazo huwa hazishindwi kitu zinaangalia maslahi tu
Hayo unajua wewe, this is africa my brother wewe tafuta maendeleo yako na familia yako ,huwezi kubadilisha chochote zaidi ya kujitafutia vidonda vya tumbo tu bureNdiyo maana hakuna maendeleo
Nyerere, Mandela, Nkwame n.k wangekuwa na haya mawazo mpaka leo tungekuwa kwenye utumwaHayo unajua wewe, this is africa my brother wewe tafuta maendeleo yako na familia yako ,huwezi kubadilisha chochote zaidi ya kujitafutia vidonda vya tumbo tu bure
Vijumba vya udongo kibao kona ya itende na eneo loteMbeya ipo juu mara 60
Unguja guest choo cha shimoVijumba vya udongo kibao kona ya itende na eneo lote
Sasa mbeya so vitakua vingi sanas vyoo vya shimo!!..unguja kuna hotel nyingi za hadhi kuliko dar,ni popular tourism destinationUnguja guest choo cha shimo
Kwani hukumuona Serikali pale Tabora kwa baba Muadhama Protase Kardinali Rugambwa?Haya kiko wapi ? Watu wameshamaliza huko nilisema hakuna wa kushindana na serikali especially hii ya kwetu hawa jamaa wakitaka jambo lao lazima wafanikishe, hizo kelele zitaisha na maisha yataendelea