Bhisumbinyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 796
- 582
Wala tec hawana hoja ya msingi. Nikundi la wasakatonge struggling for survival. Kama wana uzalendo pamoja na wewe mwenyewe jibuni haya:Ungeonekana una akili sana kama ungetaja huo utapeli. Vinginevyo ni ujinga kuzua mambo. Ukizingatia wengi tumesoma tamko la TEC na lipo sawa kabisa. Limewakamata papaya hadi mnahaha. Kila uchwao TEC hivi, TEC vile
Kanyagia hapohapoWala tec hawana hoja ya msingi. Nikundi la wasakatonge struggling for survival. Kama wana uzalendo pamoja na wewe mwenyewe jibuni haya:
1. Kwa nini hawajawahi kuishauri Serikali ivunje MoU na makanisa ambapo wanapokea mamilioni kila.mwaka na kikomo hakijulikani?
2. Kwa nini tics imewekaze bandarini mpaka ikashindwa na tec hawakujitokezi kuomba serikali iboreshe bandari kwa kuwa tics hawana uwezo?
3. Mbona mikataba mingi imesainiwa lakini tec hawasemi kitu japo kuwa nayo ina mashaka mengi?
Jibu hayo halafu tuendelee.
Katiba aliyoitengeneza mwenyewe ndiyo iliyompiga ngwala Nyerere mwenyewe. Mchimba kisima huingia mwenyewe. Nyerere alitengeneza Katiba ambayo Rais anakuwa kama Mungu mtu. Ndio maana aliishia kugomba na kuandika kitabu kumnanga Rais Ali Hassan. Nyerere hakujua kama ingetokea siku ataacha kuwa Rais akiwa hai. Alimpompendekeza Mwinyi kuwa Rais alidhani ni dhaifu na atamwendesha kwa remote.Aliwezaje kuleta 'azimio la Zanzibar' kuja kudhohofisha azimio la Arusha wakati Nyerere yupo?
Note: Azimio la Zanzibar siyo rasmi.
Hakuna asiyefahamu kuwa hata wakoloni/watesi wetu walikuwa wakisali kwenye makanisa hayahaya na Maaskofu walikuwa wakiishi mtaa moja na wakoloni wetu. Tunajuwa kuwa wakoloni walipoondoka Maaskofu walibaki, tunao humuhumu hadi Leo.kilichobakia sasaivi ni kuwashauri maaskofu hawa watusaidie kuifufua Tanganyika, na wataweza, labda wasiamue.
Hiyo 80% una uhakika nayo. Nani aliitisha kura ya maoni?Kwanini waraka haukutoka wakati serikali inaruhusu vyama vingi 1992 wakati 80% wa wananchi walikataa?
Mbna povu!!!!vp ruzuku mnayopewa kutoka ktk kodi zetu we mmWaarabu walitawala na waliendesha kwa muda mrefu bihashara ya utumwa ktk ukanda huu hasa hapa nchini kwetu. Wao waliwaachia nini? Misikiti? Mbona hamuulizwi. Kama katoliki waliachiwa hizo shule na hospital, je, ni zenu? Na kwa hiyo mtaka mgao kwenye hizo shule na hospital za katoliki? au mnataka huduma zitolewe bure? Wivu tu, ni shule ngapi na hospital ngapi za katoliki zimejengwa baada ya Uhuru ukilinganisha na za kwenu? Fanyeni kazi na kuwekeza kuliko kufunga misuri na kufuga ndevu huku mkieneza chuki na wivu kwa wenzenu. Mkiona hamna uwezo kuhudumia familia ya watoto wa wake wanne, badilisheni hiyo sera mfanye maendeleo. Mnachosha mnavyonung'unika utadhani mmeshikwa mikono!! Kila kitu m ataka dezodezo tu hadi kujengewa misikiti!!
Nini kimetokea bungeni?jana Gerson Msigwa kushatangaza Serikali inaendelea na Mkataba wa ukodishaji wa Bandari. kuna watu hawaamini maana walidhan utulivu wa Serikali hii ni ishara ya kuwaogopa
Hapa umeandika hisia zako.Katiba aliyoitengeneza mwenyewe ndiyo iliyompiga ngwala Nyerere mwenyewe. Mchimba kisima huingia mwenyewe. Nyerere alitengeneza Katiba ambayo Rais anakuwa kama Mungu mtu. Ndio maana aliishia kugomba na kuandika kitabu kumnanga Rais Ali Hassan. Nyerere hakujua kama ingetokea siku ataacha kuwa Rais akiwa hai. Alimpompendekeza Mwinyi kuwa Rais alidhani ni dhaifu na atamwendesha kwa remote.
Ewe mfuasi wa Mwamedi, kwanini waandika Uongo?Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Mkitawadha mat*ako, mikono na miguu msisahau kutawadha na UbongoMbna povu!!!!vp ruzuku mnayopewa kutoka ktk kodi zetu we mm
Mkitawadha makalio, mikono na miguu....msisahau kutawadha na ubongoHakuna asiyefahamu kuwa hata wakoloni/watesi wetu walikuwa wakisali kwenye makanisa hayahaya na Maaskofu walikuwa wakiishi mtaa moja na wakoloni wetu. Tunajuwa kuwa wakoloni walipoondoka Maaskofu walibaki, tunao humuhumu hadi Leo.
Hoja ya tec imejadiliwa na watu wengi sana kuliko ya shura ya maimam na wapinzani.Hata kwenye radio na tv yetu pendwa ya Imaaan imejadiliwa.Kiufupi hoja ina msingi,imetikisa nchi na tec wameaccomplish walichokitaka.Kibaya zaidi wamenyamaza kimya.Wala tec hawana hoja ya msingi. Nikundi la wasakatonge struggling for survival. Kama wana uzalendo pamoja na wewe mwenyewe jibuni haya:
1. Kwa nini hawajawahi kuishauri Serikali ivunje MoU na makanisa ambapo wanapokea mamilioni kila.mwaka na kikomo hakijulikani?
2. Kwa nini tics imewekaze bandarini mpaka ikashindwa na tec hawakujitokezi kuomba serikali iboreshe bandari kwa kuwa tics hawana uwezo?
3. Mbona mikataba mingi imesainiwa lakini tec hawasemi kitu japo kuwa nayo ina mashaka mengi?
Jibu hayo halafu tuendelee.
Mzee Mwinyi hakuutarajia Urais, hakuwa na mizizi Tanganyika. Kuna wakati alitaka kuurejesha Urais kwa Nyerere kwasababu ya anavyomwandama. Mzee Mwinyi alijifananisha na kichuguu mbele ya Nyerere ambae amlimfananisha na mlimae Kilimanjaro.Hapa umeandika hisia zako.
Umetumia kigezo gani kutambua dhahania au hisia za Nyerere?
Kumbe unakubali raisi ana nguvu kubwa angeweza kufanya awezalo kuzuia vyama vingi?
WalakaIko hivi, walaka haukutoka wakati unaotakiwa kutoka na unatoka usipostahili kutoka. Walaka haukutoka wakati wa wizi wa escrow wakati pesa za wizi zilipitia kwenye accounts za bank ya mkombozi, walaka hautoki wakati serikali ya Mama Samia haipigi vsawa sawa vita vya ushoga hadharani kama alivyofanya Museveni Uganda. Walaka hakuna kupinga baadhi ya mapadre kulawiti watoto, walaka hautoki CCM kubaki madarakani milele. Walaka unaangalia maslahi ya kanisa na mabeberu tu
Tulichokiona ni umissionary TU na maslahi yao. Tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondaoka Afrika kwakuwa waliokoka na kuikimbia dhambi ya kupora Mali za wengine, bali waligundua njia nyingine ya kupora bila kelele nyingi.Hoja ya tec imejadiliwa na watu wengi sana kuliko ya shura ya maimam na wapinzani.Hata kwenye radio na tv yetu pendwa ya Imaaan imejadiliwa.Kiufupi hoja ina msingi,imetikisa nchi na tec wameaccomplish walichokitaka.Kibaya zaidi wamenyamaza kimya.
Na wewe kwa kuijadili unaipa msingi wa kipekee
Na wewe uwe unatoa kwenye hizo awamu nyingine ili ku'balance' mambo au siyo?Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Leo yuko wapKwahiyo Magufuli alipuuza waraka? Kumbe hauna maana yoyote
Hii mimi inaenda zaidi ya awamu, nadhani huyu wamemdharau kwa vile ni Mwanamke. Sasa huu Waraka ndiyo Ilani ya CHADEMA sasa kila waendako hata kusiko na bandari kama Meatu na Ngorongoro wanawauliza: je, unakubaliana CCM iuze Bandari zetu kwa Waarabuuuu au unakubaliana na CHADEMA na Maslaakofu kutunza bandari zetu urithi wa watoto wetu? Nyosha mkono nyosha mkono wapiga picha pigeni.Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?