Waraka wa kuichafua Chadema wanaswa

Huna haja ya kushangaa, ilibidi ujishangae wewe, maendeleo yamedidimizwa na unachokitetea na unao wakumbatia. Hata mitume walikataliwa na waliokumbatia dhambi. Mahakama ni za serikali ya CCM, Dr Slaa aliwaita wote mafisadi mkuu wa nchi akiwa mmoja wapo, kama kweli ni wasafi si wangejisafisha au wangetumia dege la jeshi kumpeleka maweni? Tinga tinga mwenyewe aliitwa fisadi akaogopa hata waandishi wa habari.

Umpende uumchukie Dr. Slaa ni kiboko yenu, anawakera sana. Na kazi ndio inaanza. Tupo nyuma yake wenye nchi. Dr. hamlipui mtu anasema ukweli. Anafundisha jamii, anatahadharisha jamii, na jamii inamwelewa. Huwezi kumwelewa Dr wewe kwanza huijui Tanzania, unaisoma kwenye magazeti. Njoo manyoni, uyole, tunduma, isaka, mbarali, MMbwe, msata, ikwizu, meru, longodo, Mwanga, Manzese nk utajua kazi ya Dr. wa ukweli.

Serikali ilioongozwa na wazee wenu ndio imedumaza maendeleo mpaka ya elimu ya watanzania halafu leo mnawakashifu. Ngoja waamshwe.
Achana naye huyo ni mmoja wa hatres wa Slaa kwa vile baba yake alitajwa kwenye list no.2 ya mafisadi
anapambana na Slaa kwa laptop tena kwenye treni (Boston to NYC) hahaha.
 
- Interesting!, vipi kwenda kwenye mahakama kama Dr. Slaa alivyomshauri Ridhiwani? ha! ha! ha! haya ndio matatizo ya siasa za kulipuana, maendeleo hakuna!

Willie @ NYC, USA.
mahakama ya chadema inajulikana,
ni kwa wananchi jee unataka dr slaa aende mahakamani?
maandamano yaanze chapchap,na tusisikie mkilalamika.
 
Back
Top Bottom