Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

Kamuhanda asiposhitakiwa tutampeleka the hague kwa yule maza wa kisenegal

Yes, ili kuwatendea haki askari wa vyeo vya chini na raia kwa ujumla Kamuhanda anastahili kushtakiwa no.1.

Very sad kutomuunganisha RPC wa Iringa katika case hii,hasa kwa kuwa alikuwepo pia eneo la tukio.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Kamuaandawea ana matukio mawili ya kujibu.

Kwanza alihusika asilimia 100 katika mauaji kule Songea,

Pili amehusika asilimia 100 katika mauaji Iringa.

Hawawezi kukweopa kama sheria ikichukua mkondo wake inavyotakiwa.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom