Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012

Danny22

Member
Jan 14, 2014
6
6
Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie

Waraka huo unazungumzia:

Utaratibu wa kuomba Kibali cha kurejea katika Utumishi wa Umma

Mara nyingi nafasi za ajira serikalini zinapotoka zinawataka "waombaji waliowahi kuajiriwa serikalini na kuacha kwa sababu mbalimbali wazingatie maelekezo yaliyo kwenye Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012." Kabla ya kuomba ajira.

Natamani kujua content za waraka huo.

Shukran
 
Back
Top Bottom