qq.com
JF-Expert Member
- Jan 9, 2012
- 367
- 123
mnafanya vizuri lakini BADOOOOO SAAAAANA katika kutufikisha tunapotka
1.tuanze na mtu wenu wa 'webmaster" tazama hapa picha za transition zilizopo ni za march 23,2012. kisha tazama wenzetu ambao unatazama matangazo yao LIVE via net,mnashiundwa nini,mbona kila kitu kipo.japo kwenda live via net kwa dk 45 za news bulletin mnashindwa jamani.mnashindwa wapi,sema tutoe maoni ebu ona wenzenu TAZAMA MATANGAZO YA TV LIVE HAPA
website ya Star tv hasina hata clip moja ya news ya juzi,jana,leo wala nini
2.mnafanya mabadiliko ya mara kwa mara katika studio yenu ya news(mkitumia virtual studio) hii ni njema lakini too much
nitarejea,nimeitwa