Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 117
- 387
Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe.
Ikitokea unafanya jitihada kama kupunguza kuhudhuria maskani au vilabuni au baa wanakuona snitch, kama ulikuwa mlevi ukaanza kunywa juisi watakubeza na kukutolea maneno ya dhihaka.
Wanataka uendele kushinda maskani kula bangi na kunywa vichungu asubuhi mbaka jioni.
Waraibu mpeni moyo na kumuunga mkono mmoja miongoni mwenu aliyechoka kuishi maisha ya utegemezi. Huyo inaezekana akawa chachu ya wewe kutoka kwenye uraibu.