Wapwaaz leo tukutane na kunywa pombe?

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
wapwaaz nimewamiss sana aisee.....!

mi naona TUKUTANE TU NA KUNYWA POMBE!(mavodka,valuu,viceroy,grants n.k)

mi naona inafaa zaidi

kwanin inafaa zaidi?
-inauma sana kuangalia BUNGE LA KITOTO kama la tanzania
-inauma sana kuangalia ''command theories'' za mh spika
-inauma sana unapowapigia watu kura wao wanaenda mjengoni kufundishana ''kufuta/kurekebisha kauli zao)
-inauma sana lala giza kila siku wakati watu wanaingiza siku kwa posho nono
-inauma sana aisee inauma kuona bwawa la mtera linapongua maji kwa kina cha sm 3 kila siku
-inauma sana kulala giza ariff.....!inauma sana aisee!
-inauma sana kuziangalia inflations za ajabu ajabu(sukari kilo sh 2100,mafuta ya kula lita tano sh 18900/=)

WAPWAZ TUKUTANE TU TUNYWE POMBE wakati tunausubiria umeme

aisee arriff gy,rose1980,asprin,bigirita,synnovate,mwenyeji,finest,st rr,askofu,firstlady,mwanajamiione,pakajimmy,wiselady,fidel80,kizuri,js,ld,kimeywaukwey,mariaroza,baba_enock,dena amsi aisee tukutane aisee....!aisee de novriiino iko wapi arrif aisee?!

AISEE HOMMIE next level,
AISEE MPWAAZ maty,
SIJAWASAHAU WAPWAZ PAMOJA SANA

PARE PARE
 
Ukweli inauma sana.na zaid ya yote inauma sana leo natumia dawa kali za maumivu ya goti.aisee inauma kunapokuwa na sababu ya kukutana halafu usinywe tusker malta au konyagi.inauma sana aisee
 
Teamo.......sikujua kama huwa unafuatilia maswala muhimu kama haya mazee................da inauma sana!!
Hivi hili suala la bwawa la mtera kuisha sijui kupungua maji si nilianza kulisikia tangu nasoma??? Hakuna uwezekano wa kufanya utaratibu wa namna ya kukabiliana na emergencies hasa katika hili??.........dah inauma sana

Ninamshauri Supika wa Bunge atoe idhini ya kupunguza posho ya Bunge (Wangeahirisha tu maana hakuna walifanyalo) na gharama zake zikapelekwa katika kufidia uzalishaji wa taifa unaoshuka kwa ukosefu wa umeme.

Dayyyyyyyyyyyyyyyym ....kumbe niko MMU bana.....
 
sasa si ndo maana naona bora TUKUTANE tunywe pombe mpwa?.....
 
nilitegemea Askofu ungekuwa na taarifa.

Habari yake Jaluo Nyeupe kama Plate Number...

Nilitaka kujua kama anafahamu kwaresma inaanza lini, maana asingealika watu kunywa Pombe... (too bad am on the list ingawa nakunywa divai tu)
 
Ukweli inauma sana.na zaid ya yote inauma sana leo natumia dawa kali za maumivu ya goti.aisee inauma kunapokuwa na sababu ya kukutana halafu usinywe tusker malta au konyagi.inauma sana aisee
Mama wa Kwanza kwani umesahau ile tekiniki yako? Ziwa Fresh pembeni au?
 
Habari yake Jaluo Nyeupe kama Plate Number...

Nilitaka kujua kama anafahamu kwaresma inaanza lini, maana asingealika watu kunywa Pombe... (too bad am on the list ingawa nakunywa divai tu)

hahahaa hata ukienda bar unapiga divai tu? Ww utakuwa askofu wa ki-RC
 
Inauma sana Aseee leo mnitafutie Dereva tax.....nampango wa kuzima kabsaaa!!
Huwezi ishi linchi kama hil:clap2:i...
Asee mnataka nyonyooooo!!
 
Hapa tunajadili mapenzi na serikali yetu ama nini sijaelewa....
 
Hapa tunajadili mapenzi na serikali yetu ama nini sijaelewa....
Aseee Chaliiiiiiiiiiii
Tukutane Pale pale
Muda Ulele
Watu walewale
Vinywaji vile vile
Tujadili hii Serikali ambayo Rais Hajuwi kwa nini linchi ni Maskini....:clap2:
 
Back
Top Bottom