Wapwaaz leo tukutane na kunywa pombe?

Aisee mbona hamkuji? Mi na mjukuu mtiifu tushatia timu hapa tunakamata MARUNYAG!.... Inauma sana mnavyochelewa kutujoin
 
hello my lovers. Mwakutana wapi na mie nije jamani hafu ku pm mbona cijui mtoto wa mwenzenu mie. Hebu mmoja ajitoe muhanga kuni pm jamani. Daah
 
Aisee inauma sana aiseeee ukiwa unatakiwa kuwahi kibua huku Teamo anakuita kunywa bia

...Inauma sana aisee......

Tulizaliwa magizani, na magizani tumerudi
 
Mkono mmoja unapost via mobile....mwingine umekamata glass yenye kileo..inauma sana kunywa biya ya moto...damn TANESKOO
 
Umenikumbusha jana pale spika alipomkoromea yule mlemavu wa ngozi na kusema asisomeee..... duh ....inauma sanaaaa
 
Inauma sanaa Asee Tshirt kila siku kumbe shida ni Umeme Mashati hayapasiwi...!!
 
wapwaaz nimewamiss sana aisee.....!

mi naona TUKUTANE TU NA KUNYWA POMBE!(mavodka,valuu,viceroy,grants n.k)

mi naona inafaa zaidi

kwanin inafaa zaidi?
-inauma sana kuangalia BUNGE LA KITOTO kama la tanzania
-inauma sana kuangalia ''command theories'' za mh spika
-inauma sana unapowapigia watu kura wao wanaenda mjengoni kufundishana ''kufuta/kurekebisha kauli zao)
-inauma sana lala giza kila siku wakati watu wanaingiza siku kwa posho nono
-inauma sana aisee inauma kuona bwawa la mtera linapongua maji kwa kina cha sm 3 kila siku
-inauma sana kulala giza ariff.....!inauma sana aisee!
-inauma sana kuziangalia inflations za ajabu ajabu(sukari kilo sh 2100,mafuta ya kula lita tano sh 18900/=)

WAPWAZ TUKUTANE TU TUNYWE POMBE wakati tunausubiria umeme

aisee arriff gy,rose1980,asprin,bigirita,synnovate,mwenyeji,finest,st rr,askofu,firstlady,mwanajamiione,pakajimmy,wiselady,fidel80,kizuri,js,ld,kimeywaukwey,mariaroza,baba_enock,dena amsi aisee tukutane aisee....!aisee de novriiino iko wapi arrif aisee?!


PARE PARE


Bia itafanya bungeni waache utoto??:twitch:
Itamfanya spika awe muugwana??:twitch:
Itarudisha kura yako??:twitch:
Italeta mwanga??Itawanyang'anya mafisadi posho???:twitch:Actually utakua unawaongezea kama wana share kwenye makampuni!
Itaongeza maji kwenye bwawa???:twitch:Twendeni na ndoo tukarudishie yanayopungua!
Itawasha chemli...kibatari au umeme???:twitch:
Itasawazisha bei za ajabu ajabu???:twitch:

Unachotaka ni kujisahaulisha maumivu ambayo hayawezi kupotea kwa masaa machache tu.Alafu unajiongezea mengine kwasababu ukizidisha kunywa mfuko wako nao utakauka......:coffee:
 
Natamani Jerry Rawlings awe Rais wa Tanzania atwange ngumi wapuuzi wote wote humo mjengoni. Kwa maana upuuzi unazidi kila siku.
 
Bia itafanya bungeni waache utoto??:twitch:
Itamfanya spika awe muugwana??:twitch:
Itarudisha kura yako??:twitch:
Italeta mwanga??Itawanyang'anya mafisadi posho???:twitch:Actually utakua unawaongezea kama wana share kwenye makampuni!
Itaongeza maji kwenye bwawa???:twitch:Twendeni na ndoo tukarudishie yanayopungua!
Itawasha chemli...kibatari au umeme???:twitch:
Itasawazisha bei za ajabu ajabu???:twitch:

Unachotaka ni kujisahaulisha maumivu ambayo hayawezi kupotea kwa masaa machache tu.Alafu unajiongezea mengine kwasababu ukizidisha kunywa mfuko wako nao utakauka......:coffee:
kuna kitu kina miss hapa....
RECCOMENDATIONS
 
Inauma sana pale weweeeeeeeee inapokuwa hainogi sababu ya TANESCO, inauma sana pale unataka nyonyoooooooo inaposemwa kiunyonge sababu hakuna umeme najua tukutane pare pare, ila TEAMO weee mkareeeeee
 
Msafara wa mamba hata Kenge wamo, naombeni nami nikaribie japo sipo kwenye hilo kundi la wapwa.
Am not coming b'se I hate politics, Am coming because I want ti meet you guyz!
 
sasa washkaji MIDA YENYEWE YA POMBE SI NDO HII?

TWENDENI BASI WASHKAJIIIII


TWEN ZEETU TWEN ZEETU TUKAPIIGE ULAAABU!.....tukishakuwa bwax twen seetu claaaabuuuuuuu!twende tukacheki wachumbaaaaaa kila mmoja wetu arud na deeem booombaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kuna kitu kina miss hapa....
RECCOMENDATIONS

Save pesa ya bia uongoze ya mafuta ya taa au uzichange upate kajenereta kako!!Au ili kesho bei ya sukari ikiongezeka tena usishindwe kuimudu!!Besidess....kunywa pombe kunaongeza matumizi.....ununuzi tu wa bia sio neccessary....alafu ukishalewa ugonge kagari kako ulipie kukatengeneza...au uchukue taxi/bajaji kwasababu mikimiki ya daladala hutaiweza....alafu asubuhi unaamka na hangover unahitaji supu ya ukweli wakati ungeweza kufungua siku kwa chai na maandazi matatu asubuhi ikapita!!!Alafu kesho inabidi urudi kunywa tena kwasababu matatizo hayajakimbia wala kupungua!!!
 
Back
Top Bottom