Wapwaaz leo tukutane na kunywa pombe?

yap yap!namuona rooz pale kati....yani yani yani dah!
:clap2::clap2:
 
Kimei doct kanambia nikijaribu tu kuonja pombe nafwariki.hata kama niwe na lita 7 za maziwa pemben.ukweli inauma sana
 
sasa washkaji MIDA YENYEWE YA POMBE SI NDO HII?

TWENDENI BASI WASHKAJIIIII


TWEN ZEETU TWEN ZEETU TUKAPIIGE ULAAABU!.....tukishakuwa bwax twen seetu claaaabuuuuuuu!twende tukacheki wachumbaaaaaa kila mmoja wetu arud na deeem booombaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ohooo, kumbe wanaume watupu... Gender bias
 
Hahaaa! Aiseee! Mi nawapenda aisee, halafu nawatamani aisee,
Aisee mi nipo nanyi kiroho aisee. Leo mimi nimekatazwa kunywa pombe aisee. Nimeambiwa nisevu hela ya bia na supu ili ninunue sukari.
 
Aiseee! Hii inanisikitisha sana, tena sana. Yani bado umekaa hapo internet cafe jenereta linakupigia kelele wewe umo tu badala ya kuwahi pare pare...weweweweee......
The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:

The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:

The Finest (Today) (Tomorrow) (The Day after Tomorrow) (Monday)
 
....ze finest sisi Ijumaa huwa tunaanza na vodka za TINEJA....then za wapwaz.....Lol!

BWT: Maty ....nakuona hapo unachungulia mbona hutoi ramani thatha.....!

athi nimekuulidha pale juu hujajibu bana?
 
Back
Top Bottom