Wapwa wa JF Dar: Mko pande gani?

Wapwa wa JF Dar: Mko pande gani?

Wakuchukuaa vijogoo ???

*mkuu imebinafsishwa kwa jamaa mmoja mstarabusana
Wa times fm....yaani Uwezi uwezi amini kukobomba mbaya...

dah! afazali maana before ilikuwa kero tu na huduma zao mbovu alafu kale ka bar maid keupe kembamba kalikuwa na nyodo sana siku moja kidogo nikazabe makofi.
 
Mkuu jioni ntakutafuta ingawa bili ya juice utalipa wewee nilishaachga kujahapo nilikwenda na mjombawangu wakamwongezea bili kama anataka kununu trekta ..kanywa bi@8loh

Vipi mizigo ya show off Bado ipo??kama naona Noah na ipsum xa mkopo zitakavyopangana jioni hii

dah pole sana mkuu.labda wana ngalia sura ya "kuipiga".kwa mimi mzoefu wa maeneo haya mlimani city na samaki samaki hawawezi kunifanyia jambo hilo.
 
dah pole sana mkuu.labda wana ngalia sura ya "kuipiga".kwa mimi mzoefu wa maeneo haya mlimani city na samaki samaki hawawezi kunifanyia jambo hilo.

Mpwa ndio maana. Nataka wanione na mzoefu nisichapwe mpwa
 
Back
Top Bottom