Wapotosha mada

Wapotosha mada

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,880
Reaction score
63,433
Jana kwenye thread ya 'Maandamano ya Chadema Mkoa Mara' walikuwepo watu wenye lengo la kupindisha lengo la thread ya Regia Mtema lakini waliondoka wenyewe baada ya kukosa support. Nina mfano wa posts za aina hiyo. Soma posts zilizosusiwa hadi mwenyewe akaondoka, big up members.

Mada ilikuwa:: 'Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara' lakini kwa makusudi aliandika yafuatayo.....

Kweli CHADEMA haijali watu yaani viongozi wanaenda kwa magari walala hoi wanatembea hata na mguu peku?

Je CHADEMA imewanunulia viatu vya kutembekea?

kwani wwe hauko mstali wa mbele?

naona cdm inazidi kupoteza umaarufu kanda ya ziwa haiwataki juzi walikuja kusikiliza mziki

chdm naona inakosa nguvu

Masikini hata watu hawawakubali

Mnyika bado ni mdogo sana

Bado wanampa uji

je cdm imekosa soko? mbona inaangaika sana?

je watawanunulia viatu vya kutembelea?

Kwanini Slaa anahangaika?

Je cdm dar es salaam hawakubaliki?

Alipoona hajibiwi ikabidi aandike kwa bold ili watu waone vile vile haikusaidia baada ya post hii ikabidi aishie na watu wakaendelea kupata updates kwa nafasi.

KWANIN CHADEMA HAIKUBALIKI DAR ES SALAAAAAm?
 
Wewe na huyu jamaa mnaonekana wote ni mawakala wa vyama tu humu JF! Wewe Uko CDM na mwenzako yuko CCM! Unacholalamika nini yani tupoteze muda kujadili malalamiko ya kichama!
 
Wewe na huyu jamaa mnaonekana wote ni mawakala wa vyama tu humu JF! Wewe Uko CDM na mwenzako yuko CCM! Unacholalamika nini yani tupoteze muda kujadili malalamiko ya kichama!

Na ingekuwa vyema kama hii thread ingepelekwa kwenye jukwaa la Complaints
 
Tulishamwona chizi huyo ndo maana watu walimpotezea, huwa anakula bans sunia nzima huyo mwehu!
 
Kwenye msafara wa mamba kenge wamo
 
wewe ulitaka kila mtu awe na mawzo kama yako! acha mawazo ya kijima
 
Amesahau kama kwenye msafara wa kenge na mamba wamo.
 
Mkuu Quinine, naomba nikushauri kuwa kama uko katika jukwaa kwa discussion ya maana basi usijibizane na mhusika; waingereza hushauri 'Never argue with a fool; people might not notice the difference" :wink2:
 
wewe ulitaka kila mtu awe na mawzo kama yako! acha mawazo ya kijima

Inaonekana ndo principal ya JF,ukitofautiana nao kimawazo hakuna anae tafuta kukuelewesha ni matusi tu,.....kwa mtindo huo nadhani hata jeykey alikuaga muelewa sana ila alipo anza kuwa kuuliza mambo wakaanza kumtukana!
 
usigeneralize
 
wrong one mkuu... umehukumu
 
Back
Top Bottom