Wapo wengi

.... Hasa hawa wa kwetu wa hapa bongo. Wao wanachojua ni kukanyaga mafuta na kushikilia usukani tu
 
ni kweli wengi chini flat, juu mtiti huooooo kama wachaga........haa haa haaaaaa
 
Hao viumbe wanaongoza kwa tafsiri za kushangaza....

Ingetokea wanaume tunasafiri kwa muda wa siku tatu tu nje ya dunia...tukirudi tunaweza kuta mambo ya ajabu ambayo hujawahi kufikiria kama yanawezekana.... gari zingepigana pini toka ubungo hadi segera na msamvu na hamna ambae angekua tayali kumpisha mwenzie....
 
Mungu ni wa ajabu sana. Matendo yake hayachunguziki. Huwezi jua kwa nini alifanya hicho alichofanya
 
Mwingine gari ilimzimikia kwa kuishiwa mafuta anaulizwa kuhusu mafuta kama yapo akasema yapo nus tenki kumbe alisoma mshale wa temperechaaa......

Hahahahaaaa huyu ni zuzu parcee
 
Mwingine gari ilimzimikia kwa kuishiwa mafuta anaulizwa kuhusu mafuta kama yapo akasema yapo nus tenki kumbe alisoma mshale wa temperechaaa......
Preta njoo huku wanamisema.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…