Wapo wapi Vigori hawa wa Gadaffi??!!!

Anao pangoni anaendeleza dozi kwa mmoja baada ya mwingine. Utamu huo!
 
Ukiwaangalia vyema hakuna mbaya lazima alikuwa anawarecruit kwa kazi mbili ulinzi na mambo ya kikubwa!
 
Alikua ashaanza mambo ya King Mswati nini!!!!, pengine alikua na REED DANCE akichagua alafu awafanyia training mwenyewe, Training zote!!!!!
 
Jamani humo katika Handaki aliomokutwa Gaddafi hawa Vigori hawakuwemo?
 
Hii dunia hii ni rahisi sana kujidanganya wenyewe. Jana kama ingeliwezekana, naona Gaddafi would wish something different all the way together
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…