Mkutano huu ameufanya baada ya viongozi wenzake kumpigia simu na kumtaka atoe maelezo kwa nini hataki kushiriki siasa za chama chake , na pili angalia na kusikiliza kila neno kwenye mkutano huo alioufanya juzi , hajagusia hata kwa bahati mbaya suala la bandari, ameongelea katiba mpya pekee , nakwambia hivi ndugu Mimba imeshatungwa pale chadema subirin muda sio mrefu kuna kitu kinazaliwa