Usiwalamu watangazaji, wao wanasoma kilichoandikwa kwenye magazeti bila kuongeza wala kupunguza. Waliotakiwa kufanya in - depth analysis in waandishi wa habari ili waoneshe wananchi siri iliyopo kwenye hii mikopoAsubuhi hii (29 May, 2018) WAPO Radio wamesoma taarifa za magazetini kwamba "Benki sasa kushindana kushusha riba" kama vile ni neema kwa umma! Jambo ambalo si kweli, kwasababu kiini cha habari ni kwamba: "ukikopa Tsh.100,000,000/- unapewa muda (usiozidi) miaka saba kurudisha".
Hakuna unafuu wowote hapo:
100,000,000÷7=14.285 million
14.285÷12=1.2 million
Hii ina maana kwamba ukikopa kiasi hicho utatakiwa kurudisha 14.285 m. kwa mwaka! Na ili umudu masharti ya mkopo huu lazima ufanye biashara itakayokupa faida na ziada sh. 1.2 million kwa mwezi! Kwasababu ukilipa faida yote kwenye deni utakula nini? Halafu hujalipa kodi hapo! Sasa hii itakuwa biashara gani? Ndio mana nasema watangazaji wamesoma hii habari kiukasuku.
hisi theories zinazungumzwa sana mitaani na kwenye vijiwe, ila practically mambo hubadilikaSasa unashindwaje kupata 1.2m kwenye investment ya 100m.?
Chukua hii hapa
Nanunua Hiace 2 mpya. Kila moja 45M. Jumla 90M. Vibali hadi inakamilima na bima ya comprehensive jumla 98m. Baki na 2m
Malipo yake sasa.
Unampa dereva analeta hesabu 80k kwa siku na wanapata hiyo hela bila tatizo lolote so gari 2 unachukua 160k. Kwa siku kumi tuu una 1.6M zaidi ya ile unayotakiwa kuwapa wakopeshaji........
Sasa kwann ushindwe kuwapa 1.2M kwa mwezi
Unacheza na upepo pia. Usiwe mtu wa kukubali kushindwa hapo gari zote zina comprehensive insuranceh
hisi theories zinazungumzwa sana mitaani na kwenye vijiwe, ila practically mambo hubadilika