Aah Mafikizolo mtoto mdogo sana kwa asha boko mie. Namuhekenya hadi anasema ahsante mwenyeweMafikizolo na Heaven Sent wanapimana ubavu
Aah Mafikizolo mtoto mdogo sana kwa asha boko mie. Namuhekenya hadi anasema ahsante mwenyewe
Tupigane tena au nimpige tena? Unamtakia Mema Kweli mwenzio hadi turudie mpambano?Hahaha piganeni tena tuwaone laivu
Aah Mafikizolo mtoto mdogo sana kwa asha boko mie. Namuhekenya hadi anasema ahsante mwenyewe
Unasemaje wewe kifimbo chezaa?
Wewe kwangu sawa na mkate huna jeuri mbele ya chai mtoto mweyewe wewe laini kama kuku wa kisas[/QUOTE
Bi kikokwa usilete ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye Nyumba ya Vioo. Kwa Leo ngoja tu nikuonee huruma, nakuacha

hahahahahhaa shutuuuu,unionee uruma mie huyo, achakutafuta ugomvi wengine sie magwiji tuna PhD ya ngumi shauri yako, mie sio wale wanaovizia na kukumwagia tindikali,mie ni ngumi moja chali mxeeee ambu kaoge ulale uko
Cc Khantwe
Lemme me make my Nyakyusa ancestors proud. Hatuongei sana, actions kama tunalima mpunga vile. See u ulingoni, na mwambie huyo mpambe wako aje na ambulance. Byeeee

Bado hamjapigana tu?? Watoto wazembe kweli ninyi....ntahamisha udhamini wangu mimi ohoo