Mkuu mie achana na ripoti hiyo tangia niwe mtu mzima sijawahi ona nyaraka hata moja ya TISS kama zinasambaa hivyo? Hata kwa bahati mbaya tuTISS nao ni watu nao wana mioyo na wana wake na wana wanaume habari husambaa kama moto. Wahenga walisema dunia haina siri.
Na umri huu sijawahi ona hata ukurasa mmoja wa nyaraka hata moja tu ilioandikwa na TISSWaswahili hunena
"siri ni mali ya mtu mmoja"
Kijana wa kiume ukigongwa haiwezi kuwa siri tena labda umuue aliyekugonga muda huo huo, ila ukipiga punyeto inaweza kuwa siri yako..
Mkuu mie achana na ripoti hiyo tangia niwe mtu mzima sijawahi ona nyaraka hata moja ya TISS kama zinasambaa hivyo? Hata kwa bahati mbaya tu
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa
Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open
Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
Hii ripoti waliyonayo wapinzani ni ya Tanzania Interbank Settlement System (TISS)Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa