Wewe huwa sikuelewi kama ni mtu au binadamu make katika watu ambao wanaongea ubwabwa wewe wa kwanza.
Kuishambulia hoja iliyoletwa kilaghai ni kuharalisha ulaghai na kuonekanana pia kama ni mmoja wa walaghai.Tungekuona una busara kama ungeishambulia hoja yake badala ya kumshambulia yeye binafsi!
Kwa mtu mwenye ufahamu hawezi kujenga hoja zinazoletwa kilaghai.Una uhakika Mwenezi na unachokisema? Fanya utafiti kwanza Mkuu. Jenga hoja kulinda heshima yako. Mimi sijawahi kuhama chama kama wewe tangu ujana wangu.Karibu Ofisini tuongee vyema
Mkuu mimi si mlaghai.Tatizo kubwa lililopo ndani ya CCM yetu ni kuwa mkweli huchukiwa na kuonekana mpinzani. MwanaDiwani,wewe ni kiongozi chamani.Ubadilike.Ujenge hoja za haja.Acha kuropoka. Ukinisababisha niasi CCM,nitaanza na wewe. Jadili hoja. Kuwa M-CCM si kuwa mropokaji na muongo.Nyinyi ndio mnatuharibia chama chetu tawala. Njoo Lumumba, ukinikosa rudi hapa.Kuishambulia hoja iliyoletwa kilaghai ni kuharalisha ulaghai na kuonekanana pia kama ni mmoja wa walaghai.
Lazima kwanza tuushambulie ulaghai wake ili ujenzi wa hoja uwe na mantiki na siyo hii ya kukaa pembeni na kuanza kuwakejeli wanaJf wanaojibu hoja zake bila kufahamu kama mleta hoja ni mlaghai.
jana JK kamwambia Lissu,"... yatosha, upo sahahi, nakukubali...."
Leo utamaliza ID zako zote ndugu yangu. Ukweli ndio huo Mkuu.Tuupokee tu.Asante angalau uliuona uppuzi wangu na kuweka maoni yako. Ubarikiwe sana MweneziSijasoma upuuzi ulioandikwa na mleta mada, ila ningependa nimkumbushe yeye mleta mada na watu wote wa aina yake kuwa muswaada ulisainiwa tangu tar 10 na sasa ni sheria.
Jina la Avatar yako,limafanana sana na comments zako!!Mbowe anaandaa Maandamano ya kumpongeza JK, yanaanzia Arusha, na kuishia Mbeya, ila Moshi hayapiti!
Tangu kadhia ya kupitishwa 'kimagumashi' na 'kuchomekwa' kwa vifungu katika Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Katiba Bungeni Dodoma,wapinzani hawakulala.Hawakushindwa. Waliendelea kupigania ustawi wa nchi kupitia Katiba mpya bora nje ya Bunge.Wakaitisha mikutano miwili mikubwa: Jangwani na Kibanda Maiti. Wakaungwa mkono. Wakasikika.
Wapinzani walilenga mambo makubwa mawili. Kwanza, kumtaka Rais awe makini katika mchakato huu wa Katiba mpya kwakuwa unabeba mustakabali wa Taifa. Hapa, wakamuomba Rais asisaini Muswada husika.Pia, walitaka kusikilizwa na Rais katika kuwasilisha hoja zao. Walitaka majadiliano na maridhiano ya kitaifa na Rais. Lengo hili limefanikiwa.Mosi, taarifa rasmi za Ikulu zinaonesha kuwa Rais hakusaini Muswada husika. Pili,wapinzani jana wamekutana na Rais Ikulu kusikilizana na kuelewana. Lengo limetimia.
Pia, wapinzani walilenga kurejeshwa Bungeni kwa Muswada huo ili uweze kujadiliwa tena kwa maboresho yalengayo afya ya Taifa.Tayari,Rais 'ameshaamuru' Muswada urejeshwe Bungeni kwa marejesho.Waweza kurejeshwa ukiwa umeshasainiwa au la. Haijalishi. Lengo la pili limetimia pia.
Ingawa wapinzani walibezwa sana hasa na Waandamizi wa CCM yetu, muda si muda mantiki yao itaonekana kwa wengi au wote. Kupigania Katiba bora ni kupigania Taifa bora. Katiba ndiyo msingi wetu wa kwanza. Vingine vyote vinaifuata Katiba. Vingine vyote ndiyo.
Hongereni sana wapinzani: Mbowe,Lipumba na Mbatia na vyama vyenu kwa kufanikiwa hata kwa haya. CCM yetu ijifunze kuendana na wakati na mabadiliko yake.Watanzania si wale jamani,wamebadilika sana.Tusije tukabadilishwa kwa kura!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Sijasoma upuuzi ulioandikwa na mleta mada, ila ningependa nimkumbushe yeye mleta mada na watu wote wa aina yake kuwa muswaada ulisainiwa tangu tar 10 na sasa ni sheria.
Huna lolote endelea na ulaghai wa kuwaokota wenye akili za kibavicha.Mkuu mimi si mlaghai.Tatizo kubwa lililopo ndani ya CCM yetu ni kuwa mkweli huchukiwa na kuonekana mpinzani. MwanaDiwani,wewe ni kiongozi chamani.Ubadilike.Ujenge hoja za haja.Acha kuropoka. Ukinisababisha niasi CCM,nitaanza na wewe. Jadili hoja. Kuwa M-CCM si kuwa mropokaji na muongo.Nyinyi ndio mnatuharibia chama chetu tawala. Njoo Lumumba, ukinikosa rudi hapa.
Kwi kwi kwi!! umelijibuje jamaa liitwalo Cho---oni!? usijejibiwa mafi ndugu!!Jina la Avatar yako,limafanana sana na comments zako!!
Umeeleza vizuri sana shida ni wenzio wa Lumumba buk 7!! watakutusi wakikugundua wanakukolimba, au kukumwangosi/kukuulimboka/kukukibanda wakutupe Mabwepande!! take care!!Tangu kadhia ya kupitishwa 'kimagumashi' na 'kuchomekwa' kwa vifungu katika Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Katiba Bungeni Dodoma,wapinzani hawakulala.Hawakushindwa. Waliendelea kupigania ustawi wa nchi kupitia Katiba mpya bora nje ya Bunge.Wakaitisha mikutano miwili mikubwa: Jangwani na Kibanda Maiti. Wakaungwa mkono. Wakasikika.
Wapinzani walilenga mambo makubwa mawili. Kwanza, kumtaka Rais awe makini katika mchakato huu wa Katiba mpya kwakuwa unabeba mustakabali wa Taifa. Hapa, wakamuomba Rais asisaini Muswada husika.Pia, walitaka kusikilizwa na Rais katika kuwasilisha hoja zao. Walitaka majadiliano na maridhiano ya kitaifa na Rais. Lengo hili limefanikiwa.Mosi, taarifa rasmi za Ikulu zinaonesha kuwa Rais hakusaini Muswada husika. Pili,wapinzani jana wamekutana na Rais Ikulu kusikilizana na kuelewana. Lengo limetimia.
Pia, wapinzani walilenga kurejeshwa Bungeni kwa Muswada huo ili uweze kujadiliwa tena kwa maboresho yalengayo afya ya Taifa.Tayari,Rais 'ameshaamuru' Muswada urejeshwe Bungeni kwa marejesho.Waweza kurejeshwa ukiwa umeshasainiwa au la. Haijalishi. Lengo la pili limetimia pia.
Ingawa wapinzani walibezwa sana hasa na Waandamizi wa CCM yetu, muda si muda mantiki yao itaonekana kwa wengi au wote. Kupigania Katiba bora ni kupigania Taifa bora. Katiba ndiyo msingi wetu wa kwanza. Vingine vyote vinaifuata Katiba. Vingine vyote ndiyo.
Hongereni sana wapinzani: Mbowe,Lipumba na Mbatia na vyama vyenu kwa kufanikiwa hata kwa haya. CCM yetu ijifunze kuendana na wakati na mabadiliko yake.Watanzania si wale jamani,wamebadilika sana.Tusije tukabadilishwa kwa kura!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kama ndivyo,wewe nawe ni CCJ. Watakupuuza nawe.Umefurahi? Haya endelea na sikukuu na majukumu yako mengine.Hofu yangu hapa ni kubomoa chama chetu badala ya kujenga.Tutafute siku tupambane humu kwenye bandiko.Tutaomba ruhusa ya kutajana na kuanikiana kila kitu.Uko tayari Mkuu? Siku njema Mwenezi!Huna lolote endelea na ulaghai wa kuwaokota wenye akili za kibavicha.
Wananchi wengi walishawakataa na ulaghai wenu kama huu wa kujifanya wewe ni kiongozi wa CCM wakati ni CHADEMA.
Unafahamu fika kama ukisema wewe ni CHADEMA hutapata wanaJf watakao kuamini katika hoja zako badala yake unakuja Jf umevaa U-CCM ili kuwahadaa wana JF kwa faida za muda mfupi.
Tutaendelea kuwaeleza ukweli wanaJf ili waendelee kukupuuze katika mabandiko yako.
Sasa mbona hukuushambulia huo unaouita ulaghai, badala yake ukamshambulia mtu mwenyewe! ninamashaka na uwezo wako wa kuchambua mambo.Kuishambulia hoja iliyoletwa kilaghai ni kuharalisha ulaghai na kuonekanana pia kama ni mmoja wa walaghai.
Lazima kwanza tuushambulie ulaghai wake ili ujenzi wa hoja uwe na mantiki na siyo hii ya kukaa pembeni na kuanza kuwakejeli wanaJf wanaojibu hoja zake bila kufahamu kama mleta hoja ni mlaghai.
Wewe huna lolote ni mwendelezo wa ulaghai ule ule ambacho CHADEMA inatumia kulaghai watu.
Unajifanya unafanya kazi ofisi ndogo Makao Makuu ya CCM na kuleta vi-propaganda vya kitoto katika jukwaa la siasa kufurahisha wasomaji wenye akili za kibavicha wakati hufahamu hata ofisi zake zimekaa vipi.
Wewe niwa kupuuzwa tu na hizi propaganda zako za kitoto ambazo haziwezi kukufanya kupata Uongozi Pwani kupitia CHADEMA.
Chama chenye mizizi ya kilaghai hakiwezi kusimama kwenye siasa za ukweli. Endelea na ulaghai wako kama kilivyo chama chako CHADEMA.
yaani wazee sana!Kiukweli wapinzani malengo yao yametimia , na kwa sasa mbowe,lipumba na hata mbatia binafsi nawaita ni senior citizen, ni wazalendo wa ukweli..