Mpeni sifa Yesu
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 646
- 129
Jamani, kina Maalim Seif walipopata uongozi tu kwenye selikali ya zanzibar, wamefumbwa mdomo na wamekuwa rafiki mkubwa wa CCM. imagine kama Dr.slaa angepewa uwaziri mkuu na kikwete, mbowe naye akapata makamu wa rais, chadema ingekuwepo bado? can we trust these guys?..kwa upande wangu bado ninayo imani kubwa sana na chadema...ila cuf kwa jinsi walivyowageuka wapinzani wenzao, nimeamini kumbe walichokuwa wanapigania miaka yote hiyo ni kupewa cheo. manake walipopata cheo tu wamenyamaza kimyaaa....