Wapinzani wachezea kichapo kibondo

Wapinzani wachezea kichapo kibondo

kumlala mkeo unaenda kutangaza umepata demu?
kweli ccm ni kichwa mwendawazimu.
 
Uzuri wa CHADEMA ni kwamba wao tayari wamegundua kuwa hawana chao kwenye siasa na kwa sasa wanawekeza kwenye miradi mikubwa mikubwa kama kujenga mahoteli, kumbi za starehe na kuanzisha NGO nchini, ni mkakati mzuri kwa kweli.

Ushahidi;

Hotel - Pretoria hotel ya Mbowe.

Kumbi za starehe - Bilicanas iliboreshwa na kuongeza waburudikaji kwa fedha za CHADEMA.

NGO - IGEHETA ya Dr Slaa na mchumba wake Josephine, mtaji wa NGO hii ulitoka CHADEMA kwa zaidi ya 80%.

Hivi wewe mzima kweli?

Kama unashindwa kutofautisha mali za chama na mali za wanachama wake basi wewe empty headed!
 
Kwa wendawazimu wa ccm wanashangilia kuchukua uongozi wa halmashauri ya Kibondo ambayo ilikuwa ni obvious kwamba wao ndio wangeiongoza!? Sasa kama wana akili watuambie walishindana na nani hadi wajifarague kwamba wametembeza kichapo!

Nne bila ya Arusha bado inawatesa!
 
ona aibu basi mkuu madiwani wa CCM walikuwa wangapi na upinzani wangapi?14 kwa 3 alafu ulitaka ushindi?kwanza wapinzani hawakusimamisha mtu katika nafasi yoyote,acha kupotosha na kupotoka ,je mwenyekiti wenu bwana Gwegenyeza amejiuzulu ama la?uchaguzi wa leo ilikuwa sawa na baba amchunguli mama bafuni

Kumbe ilikuwa hivyo !
 
Wapinzani wakusanye nguvu kwanza ndiyo waje kwenye siasa
Idd leo au kesho? Jana ulisema mwezi umeandama jumbani yako, vineno vyako vya uchochoroni si pake hapa JF.
Kwani "every man shall bear his own burden " endeleza urafi gamba wewe mwisho kilio kwenu.
 
Uzuri wa CHADEMA ni kwamba wao tayari wamegundua kuwa hawana chao kwenye siasa na kwa sasa wanawekeza kwenye miradi mikubwa mikubwa kama kujenga mahoteli, kumbi za starehe na kuanzisha NGO nchini, ni mkakati mzuri kwa kweli.

Ushahidi;

Hotel - Pretoria hotel ya Mbowe.

Kumbi za starehe - Bilicanas iliboreshwa na kuongeza waburudikaji kwa fedha za CHADEMA.

NGO - IGEHETA ya Dr Slaa na mchumba wake Josephine, mtaji wa NGO hii ulitoka CHADEMA kwa zaidi ya 80%.
Vp biashara yenu ya mihadarati? Kina wenu Mr dhaifu.
 
yametimia yaliyoandikwa na wahenga kuwa ukianza moto utarudi baridi.
 
wapinzani wajenge kwanza vyama vyao hasa kwa ngazi ya mashina vinginevyo watakuwa kama wasindikizaji kwenye siasa za tanzania.
 
Yaan unatuambia habar za KE na ME wake kugombaniana watoto@wanandoa.
 
Sijawahi kuona Hammy D akiisifia CHADEMA.Lakini pia sijawahi kuona akitoa maoni juu ya biashara ya mihadarati inayofanywa na ccm yaani chama cha mafisadi/mateja.Pamoja na uchafu wote huu ndani ya ccm bado kuna watu wanaipenda?
 
Habari yao iwafikie,,,,2015 tunamaliza Kelele hata hao 47 watapukutika ifikiapo 2015,,Sugu,machemli,Lema,Wenje,Nasari jiandaen kusepa mjengon.
 
Uzuri wa CHADEMA ni kwamba wao tayari wamegundua kuwa hawana chao kwenye siasa na kwa sasa wanawekeza kwenye miradi mikubwa mikubwa kama kujenga mahoteli, kumbi za starehe na kuanzisha NGO nchini, ni mkakati mzuri kwa kweli.

Ushahidi;

Hotel - Pretoria hotel ya Mbowe.

Kumbi za starehe - Bilicanas iliboreshwa na kuongeza waburudikaji kwa fedha za CHADEMA.

NGO - IGEHETA ya Dr Slaa na mchumba wake Josephine, mtaji wa NGO hii ulitoka CHADEMA kwa zaidi ya 80%.
Yaani kama enzi za leo badala kutatua matatizo ya mtanzania unakaa mbele computer na hayo ndo unaandika thn we hv got a long way to go!
 
Kitu nilichojifunza hapa wanasiasa wetu wanahitaji kuwapa elimu wapiga kura badala ya kujiangalia wao maana haingii akilini mbunge anapita kwa kishindo alafu huku chini kwenye ngazi za serikali za mtaa mnamwangusha wakati huku ndio kuna wahusu wananchi kwa kiasi kikubwa. Wananchi wengi wanaamini kwa nafasi za ubunge zaidi kuliko kwenye udiwani na ndio maana Kibondo Mbunge ameshinda kwa kishindo lakini kwenye udiwani hali ni mbaya. Kwa sababu hapo hata mbunge uwe una nguvu kiasi gani ukileta hoja zako kwenye baraza la madiwani ambapo mbunge anaingia hoja zako hazipiti (hii inahusu vyama vyote vya siasa kwenye hili chagua mbunge, m-support kwa kumweka diwani wa chama chake)
 
Back
Top Bottom