Wapinzani wa Samia mna ugonjwa wa akili. Mtu mwenye akili timamu anawezaje kuaminishwa mtungi wa gesi asilia unauzwa chini ya dola 1 ?

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Nimeamua kutokuwa mpinzani wa serikali ya Samia baada ya kuona wapinzani wa nchi hii hawana akili timamu.

Polepole huyu huyu aliyewaminya wapinzani kwa miaka 5 mfululizo bila kupumua leo baada ya kutemwa na mfumo kwaajili ya madudu yake mnamwoma shujaa.

Cuba gesi inaagizwa nje. Hiyo bei ya mtungi wanayouziwa Cuba according to Polepole mnayemwamini hakuna mahali popote duniani wanauziana kwa bei hiyo.

Hata nchi zinazo export Gas asilia hawajawahi kuuziana gesi ya kg 20 kwa bei kama hii ya Polepole.

Eti Kg 20 ya gesi safi inauzwa chini ya dola 1. Nanyi mnatetemeka kwa hasira mkihisi mnapigwa na Rostam na Abdul.

If you can believe such nonsense, you are totally mad, you need one to one session so as I can lay my hand on your head to cast out demon of foolishness

Screenshot_20250830-135816.jpg
 
Kichaa ukombozi ataufanyia nini?
Nani ambaye unamjua anahangaika na watanzania?

Nimesimamia uchaguzi mwaka 2015 (tena nikiwa staff mkubwa) na 2020 pia.

WATANZANIA WAACHE KAMA WALIVYO.
Kama kweli ni maiti "Kama alivyosema kiongozi wa Kenya" waache watazikwa kwa muda wao.

Deal with your Family, Watanzania WAACHE WAJIOZEEE.

Huyo Polepole anapoteza muda tu, ye angeendelea kulamba asali kimya kimya.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nimesimia uchaguzi mwaka 2015 (tena nikiwa staff mkubwa) na 2020 pia.

WATANZANIA WAACHE KAMA WALIVYO.
Kama kweli ni maiti "Kama alivyosema kiongozi wa Kenya" waache watazikwa kwa muda wao.

Deal with your Family, Watanzania WAACHE WAJIOZEEE.

Huyo Polepole anapoteza muda tu, ye angeendelea kulamba asali kimya kimya.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sahihi
 
Taarifa yake ni ya kweli labda Kama wewe umefanya utafiti kule nchini na utuletee mahojiano uliyofanya na wananchi wa kule wakikanusha Habari hiyo
Wewe ni tahira.
Hivi unajua Cuba gesi wanaagiza wapi?
Huko wanakoagiza bei yake ikoje?
Kama hujui hata bei ya huko wanakoagiza na unaamini tu ni chini ya Dola 1 kwa kg 20 za gesi wewe ni tahira.
 
Nimeamua kutokuwa mpinzani wa serikali ya Samia baada ya kuona wapinzani wa nchi hii hawana akili timamu.
Polepole huyu huyu aliyewaminya wapinzani kwa miaka 5 mfululizo bila kupumua leo baada ya kutemwa na mfumo kwaajili ya madudu yake mnamwoma shujaa.
Cuba gesi inaagizwa nje. Hiyo bei ya mtungi wanayouziwa Cuba according to Polepole mnayemwamini hakuna mahali popote duniani wanauziana kwa bei hiyo.
Hata nchi zinazo export Gas asilia hawajawahi kuuziana gesi ya kg 20 kwa bei kama hii ya Polepole.
Eti Kg 20 ya gesi safi inauzwa chini ya dola 1. Nanyi mnatetemeka kwa hadira mkihisi mnapigwa na Rostam na Abdul.
If you can believe such nonsense you are totally mad.
Mzee wako angemwagia nje angelisaidia taifa.
 
Nimeamua kutokuwa mpinzani wa serikali ya Samia baada ya kuona wapinzani wa nchi hii hawana akili timamu.
Polepole huyu huyu aliyewaminya wapinzani kwa miaka 5 mfululizo bila kupumua leo baada ya kutemwa na mfumo kwaajili ya madudu yake mnamwoma shujaa.
Cuba gesi inaagizwa nje. Hiyo bei ya mtungi wanayouziwa Cuba according to Polepole mnayemwamini hakuna mahali popote duniani wanauziana kwa bei hiyo.
Hata nchi zinazo export Gas asilia hawajawahi kuuziana gesi ya kg 20 kwa bei kama hii ya Polepole.
Eti Kg 20 ya gesi safi inauzwa chini ya dola 1. Nanyi mnatetemeka kwa hasira mkihisi mnapigwa na Rostam na Abdul.
If you can believe such nonsense you are totally mad, you need one to one session so as I can lay my hand on your head to cast out demon of foolishness
View attachment 3462023

Na mtu mwenye akili anaaminishwaje mtu kuuwawa na kutupwa kwamba kifo ni kifo tu?
 
Back
Top Bottom