Wapinzani toeni hoja acheni vioja!

Wapinzani toeni hoja acheni vioja!

Waache tu watukane maama hawana namna nyingine. Wamenunuliwa pc na smartphone kwa kazi hiyo. Wakiacha kutukana wanahofia watanyang'anywa na wakubwa zao. Ushaidi hawana ntawaamini tu ikiwa Mnyika ataleta ushaidi dhidi ya Lowasa
 
Bila shaka kichwa chajieleza,

Mmekuwa mnatumia lugha za kuudhi, matusi, vijembe na vioja kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi.

Kwa mwanasiasa mstaarabu angetoa hoja zenye mashiko badala ya kupiga kelele zisizo na maana.

Tangu juzi mnatuambia habari za wabunge wa CCM kupewa 10ml iliwawe upande wa serikali lakini hamleti uthibitisho.

Acheni kutujengea chiki dhidi ya serikali yetu leteni hoja zenye mashiko.
Hivi vioja au hoja nani anatakiwa atoe hapo, nyie mmeletewa tuhuma sasa badala muijibu kwa hoja na kudhibitisha wapinzani kweli hawakuwa wa kweli,sasa mnatapatapa tu,oohh Mara mboe njoo ccm upate posho ohhh swali sio LA Sera.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom