Wapinzani toeni hoja acheni vioja!

Wapinzani toeni hoja acheni vioja!

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,287
Bila shaka kichwa chajieleza,

Mmekuwa mnatumia lugha za kuudhi, matusi, vijembe na vioja kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi.

Kwa mwanasiasa mstaarabu angetoa hoja zenye mashiko badala ya kupiga kelele zisizo na maana.

Tangu juzi mnatuambia habari za wabunge wa CCM kupewa 10ml iliwawe upande wa serikali lakini hamleti uthibitisho.

Acheni kutujengea chiki dhidi ya serikali yetu leteni hoja zenye mashiko.
 
Unanikumbusha yule jamaa wa mtera.. Hivi yupo chama kipi ??
 
Bila shaka kichwa chajieleza,

Mmekuwa mnatumia lugha za kuudhi, matusi, vijembe na vioja kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi.

Kwa mwanasiasa mstaarabu angetoa hoja zenye mashiko badala ya kupiga kelele zisizo na maana.

Tangu juzi mnatuambia habari za wabunge wa CCM kupewa 10ml iliwawe upande wa serikali lakini hamleti uthibitisho.

Acheni kutujengea chiki dhidi ya serikali yetu leteni hoja zenye mashiko.
jitahidi dada zimebaki nafasi za kuwa small house.
 
Njaa mbaya sana, inakulazimisha kuikanana akili yako mwenyewe
 
Hahaa ushakula buku saba basi unataka utusumbue huku au ajira hadi kwa kijani tatizo
 
Monicca kipi kinakuudhi? Wabunge hawapo kwa ajili ya kuisifia serikali mama, wapo kuidimamia na kuikosea. Sasa sijui wewe unakelwa na nini?
 
Bila shaka kichwa chajieleza,

Mmekuwa mnatumia lugha za kuudhi, matusi, vijembe na vioja kwa serikali na kiongozi mkuu wa nchi.

Kwa mwanasiasa mstaarabu angetoa hoja zenye mashiko badala ya kupiga kelele zisizo na maana.

Tangu juzi mnatuambia habari za wabunge wa CCM kupewa 10ml iliwawe upande wa serikali lakini hamleti uthibitisho.

Acheni kutujengea chiki dhidi ya serikali yetu leteni hoja zenye mashiko.
Yaani waende mahakamani au ulikuwa unataka wafanyeje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom